balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Saudi Arabia na hata Kuweit ,Jordan nk hawatuwezib mbonaTop ten ya nchi zinazojua mpira duniani kuna takbiir ngapi?
Hizo Northern Africa ni uchumi unazifanya ziwe zaidi ya kina sisi, ukienda Saudi Arabia pale na wenzake Kuwait mpira wanatumia hela nyingi ila hawajui kwa viwango vya dunia ila ukiwaleta Afrika wanajua
Sarpong,na Gislain wanatisha huko Saudia ilhali hapa bongo walichemsha.