FIFA Arab cup final, Algeria winner

FIFA Arab cup final, Algeria winner

Top ten ya nchi zinazojua mpira duniani kuna takbiir ngapi?
Hizo Northern Africa ni uchumi unazifanya ziwe zaidi ya kina sisi, ukienda Saudi Arabia pale na wenzake Kuwait mpira wanatumia hela nyingi ila hawajui kwa viwango vya dunia ila ukiwaleta Afrika wanajua
Saudi Arabia na hata Kuweit ,Jordan nk hawatuwezib mbona
Sarpong,na Gislain wanatisha huko Saudia ilhali hapa bongo walichemsha.
 
Nchi zote Africa zenye kushadadia Ukristo hazina viwango vya mpira.

Top ten ya nchi zinazoongoza kwa mpira Africa zimejaa nchi za Kiislamu.
Hilo lilikuwa kombe la vipofu, kama hoja ni dini hebu tuambie waislam /waarabu waliwahi kuchukua world cup ngapi? Hawa sijui Algeria na akina Saud Arabia huwa wanakuwa kama pombe ya ngomani, kila mmoja anajipigia.
 
Ni ukweli mkuu ....em orodhesha

Algeria
Senegal
Tunisia
Morocco
Egypt
Nigeria 50/50
Ghana
Ivory coast 50/50
Cameron
Ivory Coast na Nigeria zitoe kwenye hiyo list, wachezaji wake tunawafamu vizuri na dini zao. Hapo hebu tuwekee Somalia ili tutathmini hoja.
 
Kuna nchi ya kiislam ishawahi kufika robo fainal ya world cup
 
Kuna nchi ya kiislam ishawahi kufika robo fainal ya world cup
Nchi za kiislam ni zipi? Ninachofahamu hata huo mpira wenyewe kwa uislam bado kuna utata kama dini inaruhusu, ila nchi yenye waislam wengi iliyofika robo ni senegal na Turkey
 
Ivory Coast na Nigeria zitoe kwenye hiyo list, wachezaji wake tunawafamu vizuri na dini zao. Hapo hebu tuwekee Somalia ili tutathmini hoja.
Nigeria na Ivory coast wapo 50 50 mkuu

BY the way mpira hauna Dini.
 
Mwenyezi Mungu awajaarie waarabu wafike mbali hukoo Qatar ili wakina cc huku tuco na mpira tupate kuheshimika dhidi ya mabeberu.
 
Kuna viumbe humu povu lawatoka,,mpende mcpende waarabu wako juu, hata kama hawakuwai chukuwa world cup lakini in afrika wao ndiyo ni magiants na wababe hakuna wakuwasumbua.
 
Hilo lilikuwa kombe la vipofu, kama hoja ni dini hebu tuambie waislam /waarabu waliwahi kuchukua world cup ngapi? Hawa sijui Algeria na akina Saud Arabia huwa wanakuwa kama pombe ya ngomani, kila mmoja anajipigia.

Upende ucpende waarabu wako juu kisoka hata kama hawajawai chukuwa world cup. Mungu awajaalie wafike mbali.
 
Ivory Coast na Nigeria zitoe kwenye hiyo list, wachezaji wake tunawafamu vizuri na dini zao. Hapo hebu tuwekee Somalia ili tutathmini hoja.
Hizi dini ambazo tunalazimishwa kwa sababu ya majina ni kutuonea tu tusio na majina ya huko.

Vv
 
Nchi zote Africa zenye kushadadia Ukristo hazina viwango vya mpira.

Top ten ya nchi zinazoongoza kwa mpira Africa zimejaa nchi za Kiislamu.
Acha Ung*se acha Udini 2naongelea mpira hatuongelei Chuo ata mtt wa 2 yr anapelekwa Chuo..kwel ukichaa sio.......
 
Kwanini Africa tu? Brazil,Argentina,France ,Germany ,Belgium unajua idadi ya watu ni wa dini ipi? Mbona hao unaowashadadia hawajawahi fika hata nusu fainali ya kombe la dunia?
Tuukubali tu ukweli wakuu.
Kuwa nchi za Kiislamu Africa zipo juu kwa kandanda! Hatuwakamati hata chembe!
 
Back
Top Bottom