FIFA Awards 2023: Ni Messi tena

FIFA Awards 2023: Ni Messi tena

Alistahili na ningeshangaa kama asingepata hiyo Tuzo
Hakika HAKI imetendeka maana ni kura za wazi [emoji238][emoji238]
 
The More they hate
The more trophies he gets 😄😄

Ukiona mtu anasema halland
Ujue team Ronaldo huyoo
 
The More they hate
The more trophies he gets 😄😄

Ukiona mtu anasema halland
Ujue team Ronaldo huyoo
Kwani hata Haland angepata ingekuwa ya Ronaldo? Watu tunatamani tu kuona ushindani mpya, sura mpya. Hakuna hate yoyote. Na ukitaka kuamini watu wanataka ushindani mpya na miaka miwili ijayo apewe hata kama anastahili uone mitandao itakavyocharuka.
 
Bora umemjibu tu mtu anacheza ligi pamoja na Rick Ross,lil wayne eti ni mchezaji bora wa Dunia izo ni Tuzo au upuzi
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Bora umemjibu tu mtu anacheza ligi pamoja na Rick Ross,lil wayne eti ni mchezaji bora wa Dunia izo ni Tuzo au upuzi
Wachezaji wa Dunia walikutana wapi na mshindi wao alitokea nchi gani? Baadae wanaangalia makutano ya Ligi zenye ushindani duniani then mshindi wao alikuwa nani? Sasa umepata picha kwanini Messi alishinda hiyo tuzo.
 
Last one from [emoji238]

Asante Leo kwa kazi nzuri ya kutuburudisha wapenda football
 
1705410912827.jpg
 
kitu kibaya ni kwamba hizi ni kura za wazi watu walipiga.....!
dunia ngumu sana hii
Ukiangalia hizo kura (na sio kuhadithiwa) uatelewa kwanini wanashinda watu maarufu. Messi kashinda sababu fans wamejumuishwa pia ila Haaland kashinda kwenye Waandishi wa habari wa Michezo.

Na Cha Ajabu Rodri hayupo kabisa hata kwenye 11 Bora.
 
Wachezaji wa Dunia walikutana wapi na mshindi wao alitokea nchi gani? Baadae wanaangalia makutano ya Ligi zenye ushindani duniani then mshindi wao alikuwa nani? Sasa umepata picha kwanini Messi alishinda hiyo tuzo.
mwaka 2023 kulikua na mashindano gani ya Dunia na utwambie mshindi ni Nani maana inawezekana mpo kwenye Dunia yenu sis hatujui
 
Back
Top Bottom