Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hata Haland angepata ingekuwa ya Ronaldo? Watu tunatamani tu kuona ushindani mpya, sura mpya. Hakuna hate yoyote. Na ukitaka kuamini watu wanataka ushindani mpya na miaka miwili ijayo apewe hata kama anastahili uone mitandao itakavyocharuka.The More they hate
The more trophies he gets 😄😄
Ukiona mtu anasema halland
Ujue team Ronaldo huyoo
Bora umemjibu tu mtu anacheza ligi pamoja na Rick Ross,lil wayne eti ni mchezaji bora wa Dunia izo ni Tuzo au upuziKwani hata Haland angepata ingekuwa ya Ronaldo? Watu tunatamani tu kuona ushindani mpya, sura mpya. Hakuna hate yoyote. Na ukitaka kuamini watu wanataka ushindani mpya na miaka miwili ijayo apewe hata kama anastahili uone mitandao itakavyocharuka.
Ngoja tuone 2024Bora umemjibu tu mtu anacheza ligi pamoja na Rick Ross,lil wayne eti ni mchezaji bora wa Dunia izo ni Tuzo au upuzi
Uzuri ni kwamba yy mwenyewe Messi alimpigia Halland
Wachezaji wa Dunia walikutana wapi na mshindi wao alitokea nchi gani? Baadae wanaangalia makutano ya Ligi zenye ushindani duniani then mshindi wao alikuwa nani? Sasa umepata picha kwanini Messi alishinda hiyo tuzo.Bora umemjibu tu mtu anacheza ligi pamoja na Rick Ross,lil wayne eti ni mchezaji bora wa Dunia izo ni Tuzo au upuzi
Says it allPamoja na hivyo, kwa kuwa Messi ni nahodha wa Argentina naye kura yake aliipeleka kwa Haaland akimchagua kuwa Mchezaji Bora wa FIFA.
Ukiangalia hizo kura (na sio kuhadithiwa) uatelewa kwanini wanashinda watu maarufu. Messi kashinda sababu fans wamejumuishwa pia ila Haaland kashinda kwenye Waandishi wa habari wa Michezo.kitu kibaya ni kwamba hizi ni kura za wazi watu walipiga.....!
dunia ngumu sana hii
mwaka 2023 kulikua na mashindano gani ya Dunia na utwambie mshindi ni Nani maana inawezekana mpo kwenye Dunia yenu sis hatujuiWachezaji wa Dunia walikutana wapi na mshindi wao alitokea nchi gani? Baadae wanaangalia makutano ya Ligi zenye ushindani duniani then mshindi wao alikuwa nani? Sasa umepata picha kwanini Messi alishinda hiyo tuzo.
Sio kila anae pinga ni team Ronaldo usikaririWatu wa Ronaldo tunazidi kuwapga pumbuh tu..
Sio kila anae pinga ni team Ronaldo usikariri