FIFA Confederations Cup 2009

FIFA Confederations Cup 2009

They have done it!!! Good for Africa.

Waarabu wengi waliomo ktk ramani ya Africa wanajivunia uarabui wao na wala si uafrika. Ninayo mifano mingi sana, though i have nothing against Egyptians, ningependelea timu kutoka kusini mwa jangwa la Sahara ifanye vizuri kwenye oncoming World Cup.
 
nimefurahi sana misri kuwachapa italy kweli mpira hautabiriki
 
Waarabu wengi waliomo ktk ramani ya Africa wanajivunia uarabui wao na wala si uafrika. Ninayo mifano mingi sana, though i have nothing against Egyptians, ningependelea timu kutoka kusini mwa jangwa la Sahara ifanye vizuri kwenye oncoming World Cup.

Mkuu mbona hata mie najivunia umatumbi(uafrika) na zaidi najivunia utanzania.Hata hapa bongo kuna wanaojivunia uzanzibari na upemba,kuna wanaojivunia utanganyika n.k, Kwahiyo acha waarabu wajivunie uarabu kwa kuwa ni waarabu kweli, au sio waarabu wale?Suala la kupendelea timu kutoka kusini mwa jangwa la sahara nadhani unazungumzia Sauzi ambayo soka lake utakuwa umeliona linavyosuasua. Kwahiyo katika mashindano haya inabidi uwaunge mkono the pharaos wanaowakilisha bara la africa.
 
Mkuu mbona hata mie najivunia umatumbi(uafrika) na zaidi najivunia utanzania.Hata hapa bongo kuna wanaojivunia uzanzibari na upemba?kuna wanaojivunia utanganyika n.k, Kwahiyo acha waarabu wajivunie uarabu kwa kuwa ni waarabu kweli, au sio waarabu wale?Suala la kupendelea timu kutoka kusini mwa jangwa la sahara nadhani unazungumzia Sauzi ambayo soka lake utakuwa umeliona linavyosuasua. Kwahiyo katika mashindano haya inabidi uwaunge mkono the pharaos wanaowakilisha bara la africa.

Sasa mkuu haingependeza kwa mmatumbi kuchukua kombe badala ya Mwarabu?
 
Mimi najivunia sana hawa wenzetu WAMISRI kushinda jana. Wameonyesha mpira wa hali ya juu sana. Wamecheza pasi za uhakika na walijiamini sana. Walikuwa hawalindi goli, ila walikuwa wanashambulia mara zote. Nafikiri WAITALIANO hawaamini kama wamefungwa na WAAFRIKA. Historia ya inanyesha kuwa ITALY haijawahi kupoteza mechi na timu ya AFRIKA.....

BIG UP SANA MAFARAO KWA KUTUWEKA JUUUU WAAFRIKA......
NAAMINI WA MISRI WATACHUKUA KOMBE HILI........
 
Mimi najivunia sana hawa wenzetu WAMISRI kushinda jana. Wameonyesha mpira wa hali ya juu sana. Wamecheza pasi za uhakika na walijiamini sana. Walikuwa hawalindi goli, ila walikuwa wanashambulia mara zote. Nafikiri WAITALIANO hawaamini kama wamefungwa na WAAFRIKA. Historia ya inanyesha kuwa ITALY haijawahi kupoteza mechi na timu ya AFRIKA.....

BIG UP SANA MAFARAO KWA KUTUWEKA JUUUU WAAFRIKA......
NAAMINI WA MISRI WATACHUKUA KOMBE HILI........

Si kweli mazee..Pata ujumbe hapa..hii ilikuwa Olimpics za 1988 Seoul. Kipigo cha paka mwizi...
 
Kama kawaida timu ya Afrika wanawafunga mabingwa wa dunia kama Senegal walivyofanya hadi sasa kwenye mashinadano Misri ndio timu bora watu wanaisifu Spain wamecheza na vibonde tupu.
Yule kipa wa Misri anastahili pongezi sana kwa kuokoa magoli
 
Misri ndio timu inayofaa kutuwakilisha World Cup but hawa jamaa kila wakati wanashindwa ku-qualify kucheza fainali za World Cup
 
Egypt team robbed at Confed Cup
By Piers Edwards
BBC Sport, Johannesburg

The Egyptian players were robbed as they beat world champions Italy
South Africa's World Cup dry run has been hit by a robbery at the Egyptian team hotel in Johannesburg.

Local police are investigating the theft of some US$2,400 from the rooms of five unnamed players.

The cash was taken while the Pharaohs were beating World Cup winners Italy 1-0 on Thursday in a Confederations Cup group match.

The Egyptian delegation had been staying at Johannesburg's Protea Wanderers Hotel.

"Five players have reported a case of theft, with the total sums lost amounting to US$2,400," Thembi Nkhwashu, a spokesperson for the Gauteng South African Police Services, told BBC Sport.

"The period when the money could have disappeared is from the time they left the hotel for the match until this morning when we were notified."

Nkwashu refused to be drawn on whether the matter could have been an internal problem, but did say that the players had lacked responsibility in looking after their money.

There was some negligence on the players' part, leaving the money in drawers

Mahmoud Taher, Egypt head of delegation
"All the players had a safe in their rooms and were given information on how to operate those services, but for one reason or other they did not follow the instructions," she added.

The theft will come as a blow to South African organisers, who are staging the eight-team Confederations Cup as a test event ahead of Africa's first World Cup next year.

Meanwhile, the Egyptians, who South Africa beat for the right to host the 2010 World Cup, are refusing to blame their hosts, saying such an incident could happen anywhere.

"Our stay in South Africa has been great and everyone has been very hospitable, so this is a very unfortunate event," Mahmoud Taher, the head of Egypt's delegation, told BBC Sport.

"There was some negligence on the players' part, leaving the money in drawers, and they'll be getting firm instructions for next time."

"It's not an issue which we want to create too many problems over but the Local Organising Committee has been informed."

Ahmed Fathi, who played at right-back on Tuesday as the Pharaohs stunned the world champions, said the theft was disappointing.

"Everyone is sad about losing the money, as this is not a good thing, but there's not much we can do about it," the former Sheffield United player explained.

Meanwhile, football's world governing body Fifa has refused to comment, saying further details are needed first.

Egypt play their final Group B game in Rustenburg on Sunday, with the African champions still in with a chance of reaching the semi-finals as they face the United States.

The Confederations Cup ends in Johannesburg on Sunday 28 June.
 
Kwa wapenda football

I have been watching confederations cup lakini kuna kitu kinaboa sana --- niyale matarumbeta yanayopigwa full time kiasi kwamba tunakosa natural sounds za footbal matches hasa kwenye sekseke na magoli, we also miss the booing and its really pain in the a** when watching TV

I hope they ban those stuff during worldcup!!!
 
FIFA already said they wont ban them. Its part of the South African flavor!
 
ha ha ha umenikumbusha nilikua naangalia mechi moja yapo,sasa kuna mama mmoja sio mshabiki wa mpira akawa anasikia hayo makelele ya matarumbeta lakini hakujua kama ni matarumbe halifikiri ni nyuki lol.aliuliza "kuna nyuki hapo wanapo cheza?" ndio nikamjibu matarumbeta lool
 
Dakika ya 40 inaenda,

South Africa 0 - Spain 0...

Tutarajie furaha toka kwa SA?
 
Ni noma kwa weusi wenzetu manake wanapigwa cha pili hapa. Wanacheza lakini finishing mbovu
 
Ni noma kwa weusi wenzetu manake wanapigwa cha pili hapa. Wanacheza lakini finishing mbovu

SA officials have to swallow their pride and recall Ben McCathy into the team, they need him more than anything, hawa mastriker wao wote hawana lolote.
 
Naona SA wataingia nusu fainali japo wamekula kichapo

Amwanga unakamata game kwenye ile channel niliyokupa? Nimekubali kuwa kiwango cha soka la bongo kimepanda, Iraq ambao ni wa 77 kwenye FIFA rankings wameshindwa kumfunga New Zealand(82) ambao sisi tulioko nje ya top 100 tuliwafunga!
 
Kaka Kana-Ka-Nsungu, ile channel kwa hapa Sweden haishiki ila natumia iraqgoal.com. Nashukuru kwa kunijali kaka. Kuhusu soka tz, nikweli kuna improvement, haswa miaka mitano ijayo na sisi tutaonekana kwenye ulimwengu wa soka kaka, kwani kuna vijana wadogo wanavipaji vya soka na niliona preview kwenye tanzaniasport wale wa accademia wanavyotisha kaka. All the best Tanzania and then Africa.
 
Back
Top Bottom