Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
They have done it!!! Good for Africa.
Waarabu wengi waliomo ktk ramani ya Africa wanajivunia uarabui wao na wala si uafrika. Ninayo mifano mingi sana, though i have nothing against Egyptians, ningependelea timu kutoka kusini mwa jangwa la Sahara ifanye vizuri kwenye oncoming World Cup.
Mkuu mbona hata mie najivunia umatumbi(uafrika) na zaidi najivunia utanzania.Hata hapa bongo kuna wanaojivunia uzanzibari na upemba?kuna wanaojivunia utanganyika n.k, Kwahiyo acha waarabu wajivunie uarabu kwa kuwa ni waarabu kweli, au sio waarabu wale?Suala la kupendelea timu kutoka kusini mwa jangwa la sahara nadhani unazungumzia Sauzi ambayo soka lake utakuwa umeliona linavyosuasua. Kwahiyo katika mashindano haya inabidi uwaunge mkono the pharaos wanaowakilisha bara la africa.
Mimi najivunia sana hawa wenzetu WAMISRI kushinda jana. Wameonyesha mpira wa hali ya juu sana. Wamecheza pasi za uhakika na walijiamini sana. Walikuwa hawalindi goli, ila walikuwa wanashambulia mara zote. Nafikiri WAITALIANO hawaamini kama wamefungwa na WAAFRIKA. Historia ya inanyesha kuwa ITALY haijawahi kupoteza mechi na timu ya AFRIKA.....
BIG UP SANA MAFARAO KWA KUTUWEKA JUUUU WAAFRIKA......
NAAMINI WA MISRI WATACHUKUA KOMBE HILI........
Dakika ya 40 inaenda,
South Africa 0 - Spain 0...
Tutarajie furaha toka kwa SA?
Kweli mkuu,Finishing ya SA ..Mbovu saaaaana..they are no egypt!!
Ni noma kwa weusi wenzetu manake wanapigwa cha pili hapa. Wanacheza lakini finishing mbovu
Naona SA wataingia nusu fainali japo wamekula kichapo