FIFA Confederations Cup 2009

FIFA Confederations Cup 2009

Mpira kitu kibaya sana yani kumbe hata taifa star wanaweza amka vizuri na kuchukua taji
 
kuna mchezaji wa US kapewa Red card,sijui kama itasaidia,maana kamuda kenyewe ndo hakooo kanayoyoma
 
Mkumbuke Spain walikuwa na rekodi mpya ya kutofungwa mechi 15, leo USA wamewaumbua... Si mchezo, tena 2 - 0!
 
Spain byebyebyeeeee, tupishe brazil tuwatungue wakina obama sieeee
 
Leo nimekubali kweli kwenye soka lolote linawezekana!

Spain 'wamefulia' mbele ya USA? 15 matches bila kufungwa na wakiwa na rekodi mpya ya dunia invunjwa kwa kutandikwa 2 - 0? LoL 🙂
 
USA haina rekodi ya soccer sijui wamefanya nn wakaitisha dunia kiasi hiki au spain wanatumia dada zetu nn?
 
Back
Top Bottom