FIFA Confederations Cup 2009

FIFA Confederations Cup 2009

Do not underestimate the US bro!
Hapana mkubwa si wa under estimate,nadhani unaziona hizo kosakosa mkuu,US wanajitahidi but still they can be knocked out.Wanaonesha kwamba wanaweza dungwa at anytime,hata second half,wanashambuliwa sana
 
hii mechi nataka iwe dakik 90 bado nina mauchovu ya vacation....
spain wanashinda hamna ubishi....
 
hii mechi nataka iwe dakik 90 bado nina mauchovu ya vacation....
spain wanashinda hamna ubishi....
Mwisho wa mechi sipati picha uchovu utakavyoongezeka! Usishangae ukiona Final ni USA vs SA
 
Tim Howard anajitahidi sana,anawabeba sana US.Kaokoa magoli mengi sana.Hope hatachoka

Naona spanyola wanatafuta penati sasa.... Its tough for USA now.. one way traffic!!
 
Last edited:
Back
Top Bottom