FIFA Confederations Cup 2009

FIFA Confederations Cup 2009

Egypt looked good, especially in the second half.

As for Brazil, poor passing, poor ball control, poor defence, poor individual skills. If they bring this shit to the world cup next year they are done in the early stages. What happened to the Brazillian football.

I don't know if it's the players or the coach but they are playing like some boring European team. They have one year to get thier shit together.

They were lucky to win this one. If Egypt had continued to attack after they scored the third goal i think they would have won.
 
Yeah Egypt ni timu nzuri sana ila kwa mara nyingine Howard Webb anatoa maamuzi ya kutatanisha. In the first place it was a clear penalty but Webb pointed for a corner kick, then baada ya kuwasiliana na assistant ambaye sio among the referee assistants (washika vibendera) anabadilisha uamuzi jambo ambalo linakera na kuhoji credibility ya huyu refa. Tunakumbuka ni huyu huyu aliwapa Man Utd penati dhidi ya Spurs Man wakiwa nyuma 2-0, then wakashinda 5-2, kesho yake akaomba msamaha!
 
Lakini si kashika, so justice has been done.
 
I do agree ni penati 100% alishika mpira ila uamuzi wa awali wa referee alisema ni kona jambo ambalo lingefanyika immediately kama yule mchezaji wa Misri asingejifanya kaumia na ndio maana wabrazil walilalamika sana hasa Lucio wakimuonyesha refa kwamba yule bwana alishika. Then baada ya slow mo replays yule msaidizi aliona lile tukio thru video akamtonya ref kwamba lile ni tuta. Hoja hapa sio kwamba ile ni penati au sio penati, ni suala la waamuzi kutumia video kuamua jambo, FIFA hawaentertain matumizi hayo katika kufanya decisions.
 
Jana kulikuwa na mchezo mkali sana kati ya Egypt na Brazil...
 
I do agree ni penati 100% alishika mpira ila uamuzi wa awali wa referee alisema ni kona jambo ambalo lingefanyika immediately kama yule mchezaji wa Misri asingejifanya kaumia na ndio maana wabrazil walilalamika sana hasa Lucio wakimuonyesha refa kwamba yule bwana alishika. Then baada ya slow mo replays yule msaidizi aliona lile tukio thru video akamtonya ref kwamba lile ni tuta. Hoja hapa sio kwamba ile ni penati au sio penati, ni suala la waamuzi kutumia video kuamua jambo, FIFA hawaentertain matumizi hayo katika kufanya decisions.

Wamisri tayari wameshacomplain FIA kuhusu video refereeing kwasababu haikuwepo kwenye rules za mwaka huu, kwahiyo linesman alikosea kutoa penati hata kama beki alishika

...I doubt kama ingekuwa upande wa pili tungeona video refereeing
 
waache ubishi wamisri sasa..mambo ya kiswahili yanakuwa...mechi imeshapita sasa waangalie mbele..kuna game ya italy na usa..kwahiyo bado wana nafasi.jana walicheza vizuri sana..bahati haikuwa yao na kuruhusu magoli mengi kipindi cha kwanza imewa-cost sana.
 
Ingekuwa upande wa Brazil sidhani kama refa angetoa penati dakika ile
 
KOMBE LA MABARA 2009-CONFEDERATION CUP 2009
UJANJAUJANJA WA MISRI SAFARI HII WAKWAMA

Katika mchezo kati ya Misri na Brazil ambapo matokeo yalikuwa Brazil 4 vs Misri 3 ujanjaujanja wa wachezaji wa Misri ulikwama.Kwa miaka mingi wa-Misri wamekuwa wanakera wapenzi kwa visa vyao vya kujiangusha, kupoteza wakati wakijifanya wameumia hasa wakiwa wanaongoza kwa magoli.
Katika mchezo huu Al Muhamad alijiangusha na kujishika usoni akijidai ameumia vibaya kumbe kazuia mpira kwa mkono usiingie..baada ya ushauri wa refa aliyoko nje apewa kadi nyekundu.

Wamisri wamekuwa wakibebwa mara nyingi na CAF kwa vile makao makuu ya CAF yapo Cairo na waamuzi wengi wamekuwa wanaogopa vinginevyo hawatachaguliwa kuchezesha mechi za CAF hivyo kukosa mapato.

Misri sasa wanakata rufaa dhidi ya penati ya Brazil...kisa..kwa nini muamuzi alibadilisha mawazo baada ya kushauriwa na muamuzi wa akiba baada ya kuona video.

Nachotaka kuwaambia ndugu zetu wa Misri ni kwamba katika michezo mikubwa ya kidunia uwanjani kuna kamera chungu nzima kutoka kila upande..hilo wanalijua ...ujanjaujanja haukubaliki, ndio maana waamuzi wanavaa earphone na vifaa vingine vya hi-technology vinatumika hilo ndilo soka la leo...Nawashauri Egypt kama kweli wao ni bigwa wacheze mpira safi na sio kupoteza wakati na kuwanyima mashabiki raha..Mechi yao na Italy waonyeshe umahiri wao kimchezo ili kudhihirisha ni mabigwa wa Africa.

Swali kwa wapenzi wa mpira wa JF:Je sheria zinaruhusu muamuzi kubadili mawazo baada ya kupokea ushauri kutoka kwa mwamuzi wa nje?
 
Inabidi ndugu yangu ukubali kwamba Misri wapo juu kisoka hizo technique ulizozitaja ni mapungufu madogo ambayo umeweza kuyaona kutokana na uwezo wao wa kutandaza soka. Ndio maana mwamuzi hufidia dk zile ambazo yeye anadhani zimepotezwa either kwa majeruhi (kujiangusha!!!) na substitutions.

Kuhusu suala lako la mwamuzi wa kati kuwasiliana na wasaidizi wake inaruhusiwa ila kwa matukio ambayo wameyaona kwa macho yao on the spot wakati yanatokea sio kupitia kwenye monitors au screen (slow motion replays). Rugby, Tennis nadhani na Kriket wanaruhusu video refereeing, kama kuna utata ruksa kuangalia slow motion na kutoa maamuzi.
 
Brazil vs USA ni dakika ya 21.

Brazil 2 - USA 0

Goli la kwanza kafunga Filipe Melo

Italy+v+Brazil+International+Friendly+HjxwTdyX2cCl.jpg

La pili kafunga Robinho

robinho.jpg
 
Dakika ya 66,

Maicon anaipatia Brazil bao la 3.

Brazil 3 - USA 0
 
Mechi ya Egypt na Italy itakuwa nzuri sana.
 
Ebana Egypt wako juu, kiwango chao nimekikubali

Me too, I just cant help falling in love with the way they play. Truly African champions! Kama waafrika tutachukua kombe la dunia mwakani, it must be tha Pharaos!
 
Back
Top Bottom