FIFA Football Awards 2017: Cristiano Ronaldo achaguliwa kuwa mwanasoka bora wa kiume wa dunia

FIFA Football Awards 2017: Cristiano Ronaldo achaguliwa kuwa mwanasoka bora wa kiume wa dunia

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Leo,nchini Uingereza,kutatolewa tuzo kwa Mwanasoka bora Duniani. Wagombea watatu waliosalia ni Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na Neymar.

Kutatolewa pia tuzo za mwanasoka bora wa kike, kocha bora, timu bora, goli bora na kadhalika. Karibuni tupashane

HATIMAYE, MCHEZAJI BORA WA DUNIA NI CRISTIANO RONALDO


==================

The-Best-FIFA-Football-Awards-Show.jpg

Cristiano Ronaldo

Wachezaji Cristiano Ronaldo na Lieke Martens walitajwa kuwa wachezaji bora wa mwaka wa kiume na wa kike wa FIFA katika sherehe ya kutunuku wachezaji bora iliyofanyika katika jiji la London siku ya Jumatatu usiku(23rd October)

Hii ni mara ya 5 kwa Ronaldo kutwaa tuzo hiyo ambapo kwa sasa amemfikia mchezaji Lionel Messi kwa idadi ya Tuzo hizo.

Ronaldo ametwaa tuzo hiyo kwa mwaka 2008, 2013, 2014, 2016 na 2017 na Messi aitwaa tuzo hiyo ya Mchezaji bora wa dunia mwaka 2009, 2010, 2011, 2012 and 2015.


Washindi kwa vipengele vyote kwa Ujumla:

Arsenal-and-France-forward-Olivier-Girou.jpg

Goli bora - Olivier Giroud


The-Best-FIFA-Football-Awards-Show (1).jpg

Kocha bora wa kiume - Zinedine Zidane

The-Best-FIFA-Football-Awards-Show (2).jpg

Golikipa bora - Gianluigi Buffon


Mashabiki bora - Celtic fans

Kocha bora wa kike - Sarina Wiegman

THE FIFA FAIR PLAY AWARD - Francis Kone


The-Best-FIFA-Football-Awards.jpg

THE FIFA FIFPRO WORLD11 - Buffon, Alves, Ramos, Bonucci, Marcelo, Kroos, Modric, Iniesta, Messi, Ronaldo, Neymar
 
acha ushabiki mavi kila mfuatiliaji soka anajua kabisa kwa mwaka huu ronaldo anastahili na hana mpinzani kafanya makubwa sana msimu uliopita akiwa na madrid na ureno
Kuna sehemu yoyote niliyotukana?
 
Back
Top Bottom