FIFA kuiomba TFF Report ya Mechi kati ya Afrika Lyon vs Kagera Sugar

FIFA kuiomba TFF Report ya Mechi kati ya Afrika Lyon vs Kagera Sugar

Kama Tff haikuwa Na uhakika wa madai ya simba Na kagera bora wangezitaka hizo timu zirudiane
Wala Sio Simba na Kagera, hiyo ilikuwa wazi mikia walichapwa. Issue ni Kagera na African Lyon. Anyway, tuwe na subira wanasimba point tatu ziko njiani zinakuja.
 
wengine wanasema sio jukwaa la michezo ni kweli? Ila ni jukwaa la nini? Naomba kufafanuliwa.
 
Ni sawa wanasema asiye na ndoto/maono tyr ameshakufa... Sasa kwa kuwa mko hai ni vizuri kuendelea kuwa na ndoto. Ila salamu za Rais wa FIFA za kuipongeza Yanga zimeshapokelewa. Na hongera kwa viongozi wa Simba FC kufanikiwa kuwatoa mashabiki kwenye hoja ya msingi, mmebaki tu na zinarudi... Zinarudi... Zinarudi. Viva Kabouru, Viva Aveva.
 
Back
Top Bottom