demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Kama Tff haikuwa Na uhakika wa madai ya simba Na kagera bora wangezitaka hizo timu zirudiane
Litakuwa jambo la kwanza tangu mpira wa soka "UVUMBULIWE"...![emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Tff haikuwa Na uhakika wa madai ya simba Na kagera bora wangezitaka hizo timu zirudiane
Wala Sio Simba na Kagera, hiyo ilikuwa wazi mikia walichapwa. Issue ni Kagera na African Lyon. Anyway, tuwe na subira wanasimba point tatu ziko njiani zinakuja.Kama Tff haikuwa Na uhakika wa madai ya simba Na kagera bora wangezitaka hizo timu zirudiane
Simba bingwa mtake msitakeKwamba Yanga ndio bingwa.
Ubingwa haupatikani kwa kufungwa halafu mpewe point.
Endelea kuota.Simba bingwa mtake msitake