Ni sawa wanasema asiye na ndoto/maono tyr ameshakufa... Sasa kwa kuwa mko hai ni vizuri kuendelea kuwa na ndoto. Ila salamu za Rais wa FIFA za kuipongeza Yanga zimeshapokelewa. Na hongera kwa viongozi wa Simba FC kufanikiwa kuwatoa mashabiki kwenye hoja ya msingi, mmebaki tu na zinarudi... Zinarudi... Zinarudi. Viva Kabouru, Viva Aveva.