FIFA kujenga uwanja wa michezo kwa kila nchi mwanachama barani Afrika. Je unapendekeza mkoa/bei gani?

FIFA kujenga uwanja wa michezo kwa kila nchi mwanachama barani Afrika. Je unapendekeza mkoa/bei gani?

Morogoro panafaa zaidi. Nilikuwa napendekeza dodoma,arusha na mwanza lakini dom upo utakaojengwa, mwanza ni vyema wakaboresha ccm kirumba, arusha soka si saana kama ilivyo moro halafu arusha si centre kama ilivyo moro. Mbeya nako ni kumejitenga kidogo usafiri mtihani

Moro ni kati kidogo ya nchi! Ikipita na sgr mambo yanazidi kuwa mukide, wale wasio na sgr ni rahisi kufika sababu ni centre kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom