Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari,
FIFA na UEFA zimevifungia vilabu vyote vya mpira wa miguu vya Urusi kushiriki katika michezo.
Zimevifungia kuanzia ngazi ya vilabu hadi kimataifa na kuzuia kushiriki kombe la dunia 2022 na mashindano ya wanawake Euro 2022.
Kufungiwa huko ni muendelezo wa hatua zinazochukuliwa na kuonyesha kupinga maamuzi ya Urusi kuvamia Ukraine.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu