FIFA na UEFA zafungia timu zote za mpira wa miguu za Urusi

FIFA na UEFA zafungia timu zote za mpira wa miguu za Urusi

Mkuu sasa tuteseke kwa sababu gn?

Hapa tunachambua facts.Kuishi kwa kujitenga miaka hii ni ngumu.Hivi wewe unaweza ukipelekwa Ngorongoro peke yako ukaambiwa ishi huko,no any interaction, hupati huduma Yoyote utaweza?

Hiki ndo urusi imefanyiwa,wananchi wake ndo watauangusha utawala mana maisha yanakuwa magumu sn kwao.
Baada ya vita yataisha hayo na yanatumika wakati huu tu wa vita baada ya hapo yataisha kwenye mabaraza huko ya amani.
 
Mbona tayari wameshaanza kulalamika, leo hii tu kwenye mabank ni foleni ndefu, kwenye supermarkets wanagombania vyakula hasa vinavyotoka nje, wanajua kabisa, ndani ya muda mfupi vitaadimika!!

Hizi ni Stori za Vijiweni
 
Acha kudanganya Watu hakuna Kitu kama hicho! UEFA walichotangaza ni kusitisha uhusiano na Kampuni ya Kirusi ya Gazprom kwenye mashindano yao yote na wala sio Timu za Kirusi.
 
Acha kudanganya Watu hakuna Kitu kama hicho! UEFA walichotangaza ni kusitisha uhusiano na Kampuni ya Kirusi ya Gazprom kwenye mashindano yao yote na wala sio Timu za Kirusi.
Uwo ndio ukweli wenyewe.
Screenshot_20220301-082031.jpg
 
Hiyo safi kabisa na ndio wananchi wapate machungu wamuangushe huyo dikteta.
 
FIFA na Uefa ni wapumbavu na wanafiki sana

Wao hawataki Serikali iingilie máswala ya mpira ila cha ajabu wao wanaingilia maamuzi ya Serikali

Pia, majeshi ya USA na washirika wake ( NATO) walishawahi kuvamia Libya, Iraq etc lakini Vilabu vya mpira wa miguu ( USA, washirika wake) havijawahi kufungiwa au kujadiliwa hata na kamati za FIFA wala Uefa
Wewe chezea Marekani nini?. Karata zake akiamua kuzichanga sawa sawa,kote anashika kunzia masikio anamalizia na map*mb*. Kidogo kidogo Putin wenu utasikika mlio.
 
Mbona tayari wameshaanza kulalamika, leo hii tu kwenye mabank ni foleni ndefu, kwenye supermarkets wanagombania vyakula hasa vinavyotoka nje, wanajua kabisa, ndani ya muda mfupi vitaadimika!!
Na bado. Wataingia mitaani tu kumpiga chini mjinga huyu mpenda sifa za warusi toka mtogole
 
Back
Top Bottom