Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kwahiyo wanafikiri ligi letu litasimama au kusema zawadi hazitatolewa kwa washindi? Ukiwa Urusi hao FIFA na UEFA ni kama ZFF.
Atapata shida sn Putin,hasa ndani ya nchi yakeNaanza kuona internal resistance toka kwa Warusi dhidi ya Putin.
Endeleeni kuteseka sijui mkiwa Nato au USA ila Putin ni kama Mayele kwa cc mashabiki wa Simba anatukera sanaAtapata shida sn Putin,hasa ndani ya nchi yake
Hadi vilabu vimeondolewa kwenye EuroperSoma vizuri habari yake ni team ya taifa tu sio vilabu hilo la vilabu ni suala la nchi.
Washenzi sana , ngoja niorganize Madon wa Buza turudishe Super league ya dunia tuwapige bao FifaFIFA na Uefa ni wapumbavu na wanafiki sana
Wao hawataki Serikali iingilie máswala ya mpira ila cha ajabu wao wanaingilia maamuzi ya Serikali
Pia, majeshi ya USA na washirika wake ( NATO) walishawahi kuvamia Libya, Iraq etc lakini Vilabu vya mpira wa miguu ( USA, washirika wake) havijawahi kufungiwa au kujadiliwa hata na kamati za FIFA wala Uefa
Baba mwenye nyumba hapangiwi chakufanya akiwa kwakeFIFA na Uefa ni wapumbavu na wanafiki sana
Wao hawataki Serikali iingilie máswala ya mpira ila cha ajabu wao wanaingilia maamuzi ya Serikali
Pia, majeshi ya USA na washirika wake ( NATO) walishawahi kuvamia Libya, Iraq etc lakini Vilabu vya mpira wa miguu ( USA, washirika wake) havijawahi kufungiwa au kujadiliwa hata na kamati za FIFA wala Uefa
Mbona tayari wameshaanza kulalamika, leo hii tu kwenye mabank ni foleni ndefu, kwenye supermarkets wanagombania vyakula hasa vinavyotoka nje, wanajua kabisa, ndani ya muda mfupi vitaadimika!!Naanza kuona internal resistance toka kwa Warusi dhidi ya Putin.
FIFA na Uefa ni wapumbavu na wanafiki sana
Wao hawataki Serikali iingilie máswala ya mpira ila cha ajabu wao wanaingilia maamuzi ya Serikali
Pia, majeshi ya USA na washirika wake ( NATO) walishawahi kuvamia Libya, Iraq etc lakini Vilabu vya mpira wa miguu ( USA, washirika wake) havijawahi kufungiwa au kujadiliwa hata na kamati za FIFA wala Uefa
Nawahurumia raia wa Russia wasio na hatia, na wote wa Ukraine. Mpuuzi mmoja mpenda sifa za kijinga za miaka ya 80s kawaingiza kwenye maisha magumu sana. Qmmk Putin!Mbona tayari wameshaanza kulalamika, leo hii tu kwenye mabank ni foleni ndefu, kwenye supermarkets wanagombania vyakula hasa vinavyotoka nje, wanajua kabisa, ndani ya muda mfupi vitaadimika!!
Mkuu sasa tuteseke kwa sababu gn?Endeleeni kuteseka sijui mkiwa Nato au USA ila Putin ni kama Mayele kwa cc mashabiki wa Simba anatukera sana