FIFA na UEFA zafungia timu zote za mpira wa miguu za Urusi

Baada ya vita yataisha hayo na yanatumika wakati huu tu wa vita baada ya hapo yataisha kwenye mabaraza huko ya amani.
 
Mbona tayari wameshaanza kulalamika, leo hii tu kwenye mabank ni foleni ndefu, kwenye supermarkets wanagombania vyakula hasa vinavyotoka nje, wanajua kabisa, ndani ya muda mfupi vitaadimika!!

Hizi ni Stori za Vijiweni
 
Acha kudanganya Watu hakuna Kitu kama hicho! UEFA walichotangaza ni kusitisha uhusiano na Kampuni ya Kirusi ya Gazprom kwenye mashindano yao yote na wala sio Timu za Kirusi.
 
Acha kudanganya Watu hakuna Kitu kama hicho! UEFA walichotangaza ni kusitisha uhusiano na Kampuni ya Kirusi ya Gazprom kwenye mashindano yao yote na wala sio Timu za Kirusi.
Uwo ndio ukweli wenyewe.
 
Hiyo safi kabisa na ndio wananchi wapate machungu wamuangushe huyo dikteta.
 
Wewe chezea Marekani nini?. Karata zake akiamua kuzichanga sawa sawa,kote anashika kunzia masikio anamalizia na map*mb*. Kidogo kidogo Putin wenu utasikika mlio.
 
Mbona tayari wameshaanza kulalamika, leo hii tu kwenye mabank ni foleni ndefu, kwenye supermarkets wanagombania vyakula hasa vinavyotoka nje, wanajua kabisa, ndani ya muda mfupi vitaadimika!!
Na bado. Wataingia mitaani tu kumpiga chini mjinga huyu mpenda sifa za warusi toka mtogole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…