Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo rankinng haikuandikwa kuwa ni ya National Team. ImeandikaFIFA ranking bila kuaninisha kuwa ni ranking ya namna gan; inawezekana ni rankining ya National football league ambapo Tanzania inaongoza CECACAFA.Uko empty sana kwenye soka......hatujawahi wazid Kenya na Uganda Kwa national team
Mapointi ya miaka ya nyuma wakati wao wakitesa.Yaani Tanzania iko chini ya Kenya na Uganda wakati Tanzania hiyo ndiyo inayoongoza kwenye ukanda wa CACAFA? Hizi ranking zina walakin
FIFA haiangalii club wala ligi. Inaangalia timu ya Taifa.Kwa ngazi ya national team...TZ tupo unga bado
Ila kwa ligi tumewazid
Ahaaa hii ni rank ya nchi mkuuHiyo rankinng haikuandikwa kuwa ni ya National Team. ImeandikaFIFA ranking bila kuaninisha kuwa ni ranking ya namna gan; inawezekana ni rankining ya National football league ambapo Tanzania inaongoza CECACAFA.