FIFA RANKS: Tanzania yapanda hadi nafasi ya 114 duniani

Yaani Tanzania iko chini ya Kenya na Uganda wakati Tanzania hiyo ndiyo inayoongoza kwenye ukanda wa CACAFA? Hizi ranking zina walakin
Uko empty sana kwenye soka......hatujawahi wazid Kenya na Uganda Kwa national team
 
Huwa najiuliza kenya wametuzidi kipi kwenye mpira nakosa majibu. Wakati wachezaji wao ndoto zao ni kucheza Tanzania.
Kwa ngazi ya national team...TZ tupo unga bado

Ila kwa ligi tumewazid
 
Yaani Tanzania imepitwa mpaka na Kenya iliyokuwa imefungiwa na FIFA kwa miaka kadhaa!! Ujinga mtupu.
Kenya hatujawahi wazidi mkuu....

Kwa ngazi ya ligi napo tumewapita miaka ya 2017
 
Uko empty sana kwenye soka......hatujawahi wazid Kenya na Uganda Kwa national team
Hiyo rankinng haikuandikwa kuwa ni ya National Team. ImeandikaFIFA ranking bila kuaninisha kuwa ni ranking ya namna gan; inawezekana ni rankining ya National football league ambapo Tanzania inaongoza CECACAFA.
 
Yaani Tanzania iko chini ya Kenya na Uganda wakati Tanzania hiyo ndiyo inayoongoza kwenye ukanda wa CACAFA? Hizi ranking zina walakin
Mapointi ya miaka ya nyuma wakati wao wakitesa.
 
Hiyo rankinng haikuandikwa kuwa ni ya National Team. ImeandikaFIFA ranking bila kuaninisha kuwa ni ranking ya namna gan; inawezekana ni rankining ya National football league ambapo Tanzania inaongoza CECACAFA.
Ahaaa hii ni rank ya nchi mkuu
 
Back
Top Bottom