FIFA waja na Kituko cha Karne

FIFA waja na Kituko cha Karne

Messi na Maradona wamenifanya niupende mpira

wewe si mshabiki wa maradona, mshabiki wa maradona hawezi kamwe sema kuwa messi ndio mchezaji bora wa muda wote.
Maradona hakuishi kwa stats, jama aliishi kwa pure skills.
 
We jamaa acha ushabiki wa kishamba, MLS ina rank namba 15 league bora duniani, hio ligi ya huko Saudi ya penaldo wako ni ya 36.

Sasa unapoifananisha MLS na hii league ya Bongo sijui unamaanisha nn au ni ignorance tuu

achana na rank njoo kwenye uhalisia, hata Al ahly na Raja Casablanca wanaweza kuzipiga timu zote za Mls.
 
toughlendon_1

acha ushabiki mkuu, jaribu kuzungumza ukweli, ni kipi alichokifanya Messi 2023 mpaka astahiki kuingia kwenye top 3 ya Best Player of the year?
 
Acha kuifananisha MLS na uchafu. Mchezaji kutoka MLS kwenda ulaya ni kugusa tu lakini kutoka ligi ya Bongo kwenda ulaya ni mtihani halafu unasema standard hazitofautiani.

IFFHS

majibu yako yapo hapa.
 
We jamaa acha ushabiki wa kishamba, MLS ina rank namba 15 league bora duniani, hio ligi ya huko Saudi ya penaldo wako ni ya 36.

Sasa unapoifananisha MLS na hii league ya Bongo sijui unamaanisha nn au ni ignorance tuu

Njoo huku kwenye majibu yenu, acheni kabisa kufananisha Ligi ya Saudi na MLs. Mls ni hadhi ya Ligi ya bongo, munapoambiwa muache ubishi.

IFFHS
 
Back
Top Bottom