adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Mambo mengi ..Messi ndio ameshabeba mzigo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kweli mana sasa wanataka watushinde maneno, mpira wanaukubali ila data za mpira wanasema za uwongo, si kituko hicho mkuu 😂😂😂😂Hapa ndo utawaweza wabongo , ukitaja takwimu wanatulia wengi ni "mahaba niue" lakini data hawana
Huu ni ukweli mchungu na siku zote ukweli unakuwaga mchungu sana, kuna siku Ronaldo aliwah kuulizwa unadhani utamaliza career yako kwa kumzidi Messi mafanikio akasema yaaah 😂😂😂, sisi watu wa boli tulishajua ile ni futuhi anayoongelea yeye ila boli linapigwa na Messi, unajua walianza na mchezaji gani hana copa america mbugi likapigwa akaikosa mara mbili ya tatu akaipata, wakasema kama mnataka tumkubali abebe wordcup mhuni katinga fainali mbili na moja akaibeba wamebadilisha staili ya maneno saivi, aiseeNa ukizingatia ni from south american, kwanini wasimpe ronaldo wakati ni ndugu yao wa ulaya kama ni rahisi hivyo! Messi, he deserved, he is the best player ever ever.
Ewaaaaaa hahahahaCome on haters
Mpaka hawa haters wasemeBado hamjasema….
HahahahKillio toka saudia
Et alikimbia kwa aibu,haters bado hamjasemaAna nguvu vipi Ulaya na alikimbia kwa aibu?
Hakika jiwe gizani limeshakudondokeahii mada imehusianaje na Ronaldo? Vijana wa Miss Penalty muna mataizo ya akili
Ngoja wale haters timu cristina wajeMnyama hana EUROPA TU NA NI MABAYO HAYAWAH KUCHEZA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kama unataka kujua La Pulga ni nani nenda karudie highlights za fainaly Worldcup ndio utajua balaa zito alokuwa nalo, yan kuna kipind wapo rocker room anawaambia wenzie “juguemos al fútbol hasta que el mundial vuelva a Argentina, quiero llevar este trofeo a Rosario “ yan akamaanisha tukawashe moto mpaka kombe kombe lirud Argentina nataka nilipeleke hili kombe Rosario. Acha kabisa utani na LA PULGA, watu hapa wanaongea ongea sababu kwa namna yeyote ile CHRISTIANO hamwez Messi kimafanikio kwenye mpira hata h2h walizokutana bado messi anaongoza kwa ushindi, mpira tunaangalia wote mambo tunayaona LA PULGA HANA MPINZANI…
Hawana data wana majungu tuNgoja wale haters timu cristina waje
Messi kapiga karibia timu zote na mabeki karibia wote ni kama hakuna uwanja hajawah kufunga holi au kuwalambisha watu nyasi, HANA MPINZANI KAMA YUPO MLETE TULINGANISHE HAPA NAMBA ALAFU TUTAJUA YUI NI YUPI ? again nakupa nafasi mchague yeyote alafu sisi tunasimama na LA PULGA au chagua WAWIL KWA MMOJA TUTAJULIMSHA NAMBA ZAO ALAFU TUTAJUMLISHA NA ZA MESSI THEN TUPIGE HESABUAna nguvu vipi Ulaya na alikimbia kwa aibu?
Ni nani ? Na kasemwa wapi ? Mbona mnakuwa na roho mbaya ? Kwanini hamumtaki jamaa na anapiga mpira kuliko wote ?mp
mpira umeanza kufatilia lini?mchezaji bora wakarne humjui hadileo ndio umtaje mesi?
Njoo na sababu sasa nini Tatizo ? Alafu mpira ni sayansi na sio siasaNi shabiki wa Barca na Argentina na nina mkubali sana Messi ila toka Messi abebe uchezaji bora mbele ya Iniesta na Xavi baada ya WC 2010 niliona fifa wana siasa nyingi.
kweli hiki ni kituko.... au tufanye tu fifa waje bongo alafu TFF iende ulaya.... eh hivi naongea nini au basi.Leo Messi ndani ya top 3 ya watakao gombania tunzo ya mchezaji bora wa mwaka 2023.
tukumbuke Messi anacheza Ligi ya Mls inayokaribiana na ligi ya Bongo kiubora, wakati huo huo ndani ya hiyo ligi ya MLS Messi amefunga magoli mawili tu.
Kwa kweli wameanza kufedheheka.
Anastahilimchezaji bora wa karne lionel messi
mchezaji bora wa muda wote lionel messi
mshindi wa makombe yote. dunian lionel messi
Nilimsikiliza jamaa dahhh! Anajua kupamba na kwa Messi alisema ya moyoni kabisaNilikuwa nairudia match ya Fainali Worldcup ARGENTINA VS FRANCE sababu hakuna match nasikia raha kuangalia kma ile mwishoni PETER DRURRY akasema hivi…,
“Argentina are champions of the world. Against last, and the nation will tango all night long. Thirty-six years since Maradona and Mexico here, finally, is a nation’s new throng of immortals. Scaloni will be fated, MESSI will be sainted. LIONEL MESSI has shaken hands with paradise. The little boy from Rosario, Santa Fe has just pitched up in heaven. He climbs into a galaxy of his own.”
ALAFU AKAENDELEA
“He was beautiful. He was the point of difference. He has always been the point of difference. Unparalleled and maybe today there will of course always be those who argue, always be those who debate and the debate can rage on if you like but as he falls in love with the object in the world his heart most desired it is hard to escape the supposition that he has rendered himself today the greatest of all time”.
Sasa kuna jitu lipo malinyi ulanga ndani ndani hata huu umeme unaokatika katika haujafika bado linabisha, kudadeki…
Wanamtafutia tuzo tuLeo Messi ndani ya top 3 ya watakao gombania tunzo ya mchezaji bora wa mwaka 2023.
tukumbuke Messi anacheza Ligi ya Mls inayokaribiana na ligi ya Bongo kiubora, wakati huo huo ndani ya hiyo ligi ya MLS Messi amefunga magoli mawili tu.
Kwa kweli wameanza kufedheheka.