FIFA waja na Kituko cha Karne

FIFA waja na Kituko cha Karne

Na ukizingatia ni from south american, kwanini wasimpe ronaldo wakati ni ndugu yao wa ulaya kama ni rahisi hivyo! Messi, he deserved, he is the best player ever ever.
Huu ni ukweli mchungu na siku zote ukweli unakuwaga mchungu sana, kuna siku Ronaldo aliwah kuulizwa unadhani utamaliza career yako kwa kumzidi Messi mafanikio akasema yaaah 😂😂😂, sisi watu wa boli tulishajua ile ni futuhi anayoongelea yeye ila boli linapigwa na Messi, unajua walianza na mchezaji gani hana copa america mbugi likapigwa akaikosa mara mbili ya tatu akaipata, wakasema kama mnataka tumkubali abebe wordcup mhuni katinga fainali mbili na moja akaibeba wamebadilisha staili ya maneno saivi, aisee
 
Nilikuwa nairudia match ya Fainali Worldcup ARGENTINA VS FRANCE sababu hakuna match nasikia raha kuangalia kma ile mwishoni PETER DRURRY akasema hivi…,
“Argentina are champions of the world. Against last, and the nation will tango all night long. Thirty-six years since Maradona and Mexico here, finally, is a nation’s new throng of immortals. Scaloni will be fated, MESSI will be sainted. LIONEL MESSI has shaken hands with paradise. The little boy from Rosario, Santa Fe has just pitched up in heaven. He climbs into a galaxy of his own.”

ALAFU AKAENDELEA

“He was beautiful. He was the point of difference. He has always been the point of difference. Unparalleled and maybe today there will of course always be those who argue, always be those who debate and the debate can rage on if you like but as he falls in love with the object in the world his heart most desired it is hard to escape the supposition that he has rendered himself today the greatest of all time”.

Sasa kuna jitu lipo malinyi ulanga ndani ndani hata huu umeme unaokatika katika haujafika bado linabisha, kudadeki…
 
Mnyama hana EUROPA TU NA NI MABAYO HAYAWAH KUCHEZA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kama unataka kujua La Pulga ni nani nenda karudie highlights za fainaly Worldcup ndio utajua balaa zito alokuwa nalo, yan kuna kipind wapo rocker room anawaambia wenzie “juguemos al fútbol hasta que el mundial vuelva a Argentina, quiero llevar este trofeo a Rosario “ yan akamaanisha tukawashe moto mpaka kombe kombe lirud Argentina nataka nilipeleke hili kombe Rosario. Acha kabisa utani na LA PULGA, watu hapa wanaongea ongea sababu kwa namna yeyote ile CHRISTIANO hamwez Messi kimafanikio kwenye mpira hata h2h walizokutana bado messi anaongoza kwa ushindi, mpira tunaangalia wote mambo tunayaona LA PULGA HANA MPINZANI…
Ngoja wale haters timu cristina waje
 
Ana nguvu vipi Ulaya na alikimbia kwa aibu?
Messi kapiga karibia timu zote na mabeki karibia wote ni kama hakuna uwanja hajawah kufunga holi au kuwalambisha watu nyasi, HANA MPINZANI KAMA YUPO MLETE TULINGANISHE HAPA NAMBA ALAFU TUTAJUA YUI NI YUPI ? again nakupa nafasi mchague yeyote alafu sisi tunasimama na LA PULGA au chagua WAWIL KWA MMOJA TUTAJULIMSHA NAMBA ZAO ALAFU TUTAJUMLISHA NA ZA MESSI THEN TUPIGE HESABU
 
Leo Messi ndani ya top 3 ya watakao gombania tunzo ya mchezaji bora wa mwaka 2023.

tukumbuke Messi anacheza Ligi ya Mls inayokaribiana na ligi ya Bongo kiubora, wakati huo huo ndani ya hiyo ligi ya MLS Messi amefunga magoli mawili tu.

Kwa kweli wameanza kufedheheka.
kweli hiki ni kituko.... au tufanye tu fifa waje bongo alafu TFF iende ulaya.... eh hivi naongea nini au basi.
 
Nilikuwa nairudia match ya Fainali Worldcup ARGENTINA VS FRANCE sababu hakuna match nasikia raha kuangalia kma ile mwishoni PETER DRURRY akasema hivi…,
“Argentina are champions of the world. Against last, and the nation will tango all night long. Thirty-six years since Maradona and Mexico here, finally, is a nation’s new throng of immortals. Scaloni will be fated, MESSI will be sainted. LIONEL MESSI has shaken hands with paradise. The little boy from Rosario, Santa Fe has just pitched up in heaven. He climbs into a galaxy of his own.”

ALAFU AKAENDELEA

“He was beautiful. He was the point of difference. He has always been the point of difference. Unparalleled and maybe today there will of course always be those who argue, always be those who debate and the debate can rage on if you like but as he falls in love with the object in the world his heart most desired it is hard to escape the supposition that he has rendered himself today the greatest of all time”.

Sasa kuna jitu lipo malinyi ulanga ndani ndani hata huu umeme unaokatika katika haujafika bado linabisha, kudadeki…
Nilimsikiliza jamaa dahhh! Anajua kupamba na kwa Messi alisema ya moyoni kabisa
 
Leo Messi ndani ya top 3 ya watakao gombania tunzo ya mchezaji bora wa mwaka 2023.

tukumbuke Messi anacheza Ligi ya Mls inayokaribiana na ligi ya Bongo kiubora, wakati huo huo ndani ya hiyo ligi ya MLS Messi amefunga magoli mawili tu.

Kwa kweli wameanza kufedheheka.
Wanamtafutia tuzo tu
 
Back
Top Bottom