FIFA waja na Kituko cha Karne

FIFA waja na Kituko cha Karne

Ligi ya USA ufananishe na hii takataka ya Tanzania?

Hiyo ligi amecheza pele

MKuu hakuna tofauti kubwa kati ya ligi ya Bongo na US, kuwa kacheza Pele sio hoja, US ni taifa kubwa kwahiyo hayo mambo mengine ni rahisi kuwezekana sio kwa sababu ya standard yao ya mpira.
 
Acha kuifananisha MLS na uchafu. Mchezaji kutoka MLS kwenda ulaya ni kugusa tu lakini kutoka ligi ya Bongo kwenda ulaya ni mtihani halafu unasema standard hazitofautiani.
 
tuekee orodha ya hao waliotoka MLS wakaenda Ulaya
 
Acha kabisa usifananishe MLS na uchafu. Humfahamu Alphonso Davies pale Bayern, Miguel Almiron pale newcastle je, akina brenden Aaronson , Ricardo Pepi hao wote kwa uchache wametoka MLS wanakichafua ulaya, halafu wewe unafananisha na huo uchafu.
 
Leo Messi ndani ya top 3 ya watakao gombania tunzo ya mchezaji bora wa mwaka 2023.

tukumbuke Messi anacheza Ligi ya Mls inayokaribiana na ligi ya Bongo kiubora, wakati huo huo ndani ya hiyo ligi ya MLS Messi amefunga magoli mawili tu.

Kwa kweli wameanza kufedheheka.

Hivi Messi unamchukulia kama Boko au nani? Ebu tulia plz
 
mchezaji bora wa karne lionel messi

mchezaji bora wa muda wote lionel messi

mshindi wa makombe yote. dunian lionel messi
Mnyama hana EUROPA TU NA NI MABAYO HAYAWAH KUCHEZA 😂😂😂😂😂😂, kama unataka kujua La Pulga ni nani nenda karudie highlights za fainaly Worldcup ndio utajua balaa zito alokuwa nalo, yan kuna kipind wapo rocker room anawaambia wenzie “juguemos al fútbol hasta que el mundial vuelva a Argentina, quiero llevar este trofeo a Rosario “ yan akamaanisha tukawashe moto mpaka kombe kombe lirud Argentina nataka nilipeleke hili kombe Rosario. Acha kabisa utani na LA PULGA, watu hapa wanaongea ongea sababu kwa namna yeyote ile CHRISTIANO hamwez Messi kimafanikio kwenye mpira hata h2h walizokutana bado messi anaongoza kwa ushindi, mpira tunaangalia wote mambo tunayaona LA PULGA HANA MPINZANI…
 
Kumbe ununaongea latino hahah
 
Back
Top Bottom