Yap kwa kiasi fulani
Ila mbona tukiwa watoto tumeona movies za kutwangana risasi na kuchomana visu jee sisi tumechukua hizo tabia
Ila watu mna akili mbovu, kwahiyo upinde wa mvua ukitokea angani nao unakua unashtua watu???
Duh 🏃je wewe ulifundishwa shule huko kutwwangana risasi? unajua kama ulaya sasa hivi mpaka mashule wameanzwa kufundishwa mambo ya ushoga?
Biden ndio alitangaza June kuwa pride month so haina miaka mingi tangu ianzishweKumbe wana mwezi wao? nani aliwapa huo mwezi?
Kuna uhusiano gani kati ya football na LGBT? Mantiki yangu ni kwamba kulikua na umhimu gani FIFA kuweka hizo rangi kwenye masuala ya mpira?Jua hizo rangi za upinde zilikuwepo kabla ya hawa mashoga kuanza kutumia..
Hv uliwah kuwaza ingetokea wangeamua kutumia rangi za bendera ya taifa la tz mngebadili bendera
Mashoga wanashinda vita na kusambaza ushoga wao sababu mnashindana nao kimihemuko wenzenu wanatumia akili..
Ni sawa mtu ajipake kinyesi aingiw kwako kuiba uogope kupambana nae sababu utanuka na ww..
Maana yake kesho mashoga wakatanga vaz lao rasmi ni jeans za blue maana yake mtaacha kuvaa sio? ..
Mkizidi kukimbia vitu wanavyotumia ndo mnawapa ushindi wa mezan
Duh nlkua sielewi kabisa Yani rangi nizenyew kabsaAfu Kwenye hizi simu zetu Kuna chrome,Google,playstore na kadhalika na zote Zina rangi za upinde.
Huu ni mwezi wa upinde.Shirikisho la soka duniani FIFA limetumia rangi za rainbow 🌈 kwenye profile yake hii ina maana gani kwa s mashabiki wa football wasi unga mkono hayo mambo pia kwa vyama wanachama wausio unga mkono ? Tukae tusubiri.
View attachment 3012209
Wengi wao sikuhizi ni wanachama pia, hapo Egypt kuna Mashoga mengi sanaa...bado Yemen, Qatar n.kSema waarabu siku hizi wamepuguza misimamo mapema sana tungekua tusha sikia tamko and I swear ninge hamia huko tuwa achie FIFA yao ya 🌈