FIFA watumia rangi za upinde kwe profile yao

FIFA watumia rangi za upinde kwe profile yao

Sema waarabu siku hizi wamepuguza misimamo mapema sana tungekua tusha sikia tamko and I swear ninge hamia huko tuwa achie FIFA yao ya 🌈
Kwenye last World Cup Qatar walikataa huo ujinga,wakapiga marufuku hizo rangi za upinde,FIFA wakapiga kelele ila Qatar akasimamia msimamo wake,ikabidi FIFA wawe wapole tu.
 
Kuna emojis mkuu sizielewi zina animate ki upinde kabisa.. Alafu sio kwamba warusi wote ni watiifu eti wanakemea haya mambo wapo ambao wanayasupport nje ya urusi hata serikali ya urusi hawaikubali telegram kuna wakati iliwahi letewa noma huko urusi mpaka ma devs walikimbia nchi...
Mkuu telegram ni ya warusi, duh nao ni upinde 😯😯😯
 
Kila kitu siku hizi ni biashara,
Hapo ukute machoko wameilipa FIFA mamilioni ili kutangaziwa rangi zao,

Inasikitisha sana.
Wanaweza wasilipe hata mia, lakini wao ndio wamecontrol dunia, hakuna wa kushindana nao, wewe linda familia yako hakikisha unalea watoto kimaadili, hao jamaa hawawezekani si kama wengi wanavyowadhania.
 
Wanaweza wasilipe hata mia, lakini wao ndio wamecontrol dunia, hakuna wa kushindana nao, wewe linda familia yako hakikisha unalea watoto kimaadili, hao jamaa hawawezekani si kama wengi wanavyowadhania.
Hizi ajenda zimeshikiliwa na wenye umiliki wa hii dunia, jamaa wana nguvu zote za kiuchumia, kisiasa, kimedia so hakuna wa kuwazuia kueneza ajenda zao
 
Shirikisho la soka duniani FIFA limetumia rangi za rainbow [emoji304] kwenye profile yake hii ina maana gani kwa s mashabiki wa football wasi unga mkono hayo mambo pia kwa vyama wanachama wausio unga mkono ? Tukae tusubiri.

View attachment 3012209


Jua hizo rangi za upinde zilikuwepo kabla ya hawa mashoga kuanza kutumia..

Hv uliwah kuwaza ingetokea wangeamua kutumia rangi za bendera ya taifa la tz mngebadili bendera

Mashoga wanashinda vita na kusambaza ushoga wao sababu mnashindana nao kimihemuko wenzenu wanatumia akili..

Ni sawa mtu ajipake kinyesi aingiw kwako kuiba uogope kupambana nae sababu utanuka na ww..

Maana yake kesho mashoga wakatanga vaz lao rasmi ni jeans za blue maana yake mtaacha kuvaa sio? ..

Mkizidi kukimbia vitu wanavyotumia ndo mnawapa ushindi wa mezan
 
Hayo marangi rangi sidhani kama yanaweza kumpelekea mtu kuwa QXHDFPLS kama hana elements hizo hata akijichora mwili mzima
Hawa majamaa hawana nguvu kiasi hicho
 
Ila watu mna akili mbovu, kwahiyo upinde wa mvua ukitokea angani nao unakua unashtua watu???
 
Back
Top Bottom