Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema waarabu siku hizi wamepuguza misimamo mapema sana tungekua tusha sikia tamko and I swear ninge hamia huko tuwa achie FIFA yao ya 🌈Kila kitu siku hizi ni biashara,
Hapo ukute machoko wameilipa FIFA mamilioni ili kutangaziwa rangi zao,
Inasikitisha sana.
Kwenye last World Cup Qatar walikataa huo ujinga,wakapiga marufuku hizo rangi za upinde,FIFA wakapiga kelele ila Qatar akasimamia msimamo wake,ikabidi FIFA wawe wapole tu.Sema waarabu siku hizi wamepuguza misimamo mapema sana tungekua tusha sikia tamko and I swear ninge hamia huko tuwa achie FIFA yao ya 🌈
Mkuu telegram ni ya warusi, duh nao ni upinde 😯😯😯
Serikali ya urusi haikukubaliana na hao jamaa wa telegram kwa kuficha taarifa za watumiaji wake.hata serikali ya urusi hawaikubali telegram kuna wakati iliwahi letewa noma huko urusi mpaka ma devs walikimbia nchi..
Mwamba kaamua achuchumae tu lakini sio kukalia upindeWanatukosea sana wapenda soka.
View attachment 3012232
Wanaweza wasilipe hata mia, lakini wao ndio wamecontrol dunia, hakuna wa kushindana nao, wewe linda familia yako hakikisha unalea watoto kimaadili, hao jamaa hawawezekani si kama wengi wanavyowadhania.Kila kitu siku hizi ni biashara,
Hapo ukute machoko wameilipa FIFA mamilioni ili kutangaziwa rangi zao,
Inasikitisha sana.
Umejuaje,maybe hao fifa ndio upinde wenyewe.Kila kitu siku hizi ni biashara,
Hapo ukute machoko wameilipa FIFA mamilioni ili kutangaziwa rangi zao,
Inasikitisha sana.
Umoja wa mataifa,so huu mwezi wa sita ni pride month,kwaajilia ya machoko kuheshimiwa na kulindwa haki zao.Kumbe wana mwezi wao? nani aliwapa huo mwezi?
Hizi ajenda zimeshikiliwa na wenye umiliki wa hii dunia, jamaa wana nguvu zote za kiuchumia, kisiasa, kimedia so hakuna wa kuwazuia kueneza ajenda zaoWanaweza wasilipe hata mia, lakini wao ndio wamecontrol dunia, hakuna wa kushindana nao, wewe linda familia yako hakikisha unalea watoto kimaadili, hao jamaa hawawezekani si kama wengi wanavyowadhania.
Baada ya kufanya hivyo ndio waliacha kupost uchoko, ama ndio uchoko umeisha.Nili iunfollow Barca page zake zote kwa ajili ya huu upuuzi.
Hakifai kwa matumizi hata kukaa ni mwiko.Mwamba kaamua achuchumae tu lakini sio kukalia upinde
Shirikisho la soka duniani FIFA limetumia rangi za rainbow [emoji304] kwenye profile yake hii ina maana gani kwa s mashabiki wa football wasi unga mkono hayo mambo pia kwa vyama wanachama wausio unga mkono ? Tukae tusubiri.
View attachment 3012209
Hayo marangi rangi sidhani kama yanaweza kumpelekea mtu kuwa QXHDFPLS kama hana elements hizo hata akijichora mwili mzima
Hawa majamaa hawana nguvu kiasi hicho
Yap kwa kiasi fulanimkuu hao jamaa target yao kubwa ni kazazi chako na sio wewe.