Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
- Thread starter
- #221
England wamekosa stricker kama Ellen White; sijajua kwa nini Ellen White hakuwa kwenye roster yao kwani yule mwanamke ni striker mzuri sana. Huwa ni vigumu sana kwa Ellen White kupoteza mpira ndani ya box.Sasa mzeya sii ndio technical quality hiyo...wee unaletewa mapande alafu una mbwela mbwela wakati wenzio wanamalizia fasta...hiyo ndio tufauti ya bingwa na runner up.
Goli la spain yule captain kwa kweli alijituma maana ile sprint sii mchezo. Kulikuwa na mchezaji wa england alipitwa and the finish was sublime....ball imewekwa pembeni kabisa alafu mpira wa chini.
Timu yote ya DEngland ilikuwa nzuri tu, ila pale forward line ndiko kulikokuwa na ukakasi sana