FIFA Women's World Cup 2023 | Kombe la Dunia kwa Wanawake

Spain wamekosa penalty. Angalia kizaa saa chote hapa

Video yangu imekataa kuwa ni kubwa sana
 
Mchezaji mmoja wa Uingereza kaumia
 
Attachments

  • IMG_2339.jpeg
    IMG_2339.jpeg
    631.7 KB · Views: 2
Dakika za mwisho hizi uingereza imejitahidi kuongeza mashambulizi ila haina wamaliziaji wazuri

Ilikuwa hatari nyingine kwenye lango la uingereza
 
Dakika 13 za majeruhi sasa. Wamekuwa wakati sana kipindi hiki
 
Spain bingwa wa dunia. Uingereza ilikuwa haina wamaliziaji wazuri kwani walipoteza nafasi nying sana
 
Spain quality all round...yaani mafundi kweli kweli. Uwekezaji wao umelipa
 
Wakati mashindano yanaanza, Spain haikuwamo katika list ya Giants. Waliokuwa wanaheshimiwa ni USA, England, France, Netherlands, Sweden, Japan na Canada. Spain alikuwa ni underdog
 
Wasiojua mpira but bliv u me if a nation can win u17 and u20 worldcups then u have to take that team seriously.
Ofcoz it goes without saying it was a shock for them to be beaten 5 by japan and i concur usa has always delivered come the biggest stage of them all. this time they lacked the never die attitude that has been at the heart of their dominance in women's football.

Yule mwanamama kocha wa england has done a great job unfortunately fortunes does not favour her. Second worldcup final defeat but needleas to say, england played against a team with superior technical quality
 
England walicheza mpira mzuri tu na wangeweza kushinda. Weekaness ya England ilikuwa ni kwenye finishing. Yaani pale finishi palekuwa na ombwe kubwa sana leo. Mipira ilikuwa inaletwa na cross nzuri kwenye box kwa angle nzuri ya kufunga halafu striker ama anapiga nje au anajikanyaga hadi anyany'angwa. Mipira yote ya cross za England iliyopotezwa na striker ilikuwa inatosha sana kuipa England Ushindi kwani ilikuwa ni mingi kuliko ile ya Spain iliyofika kwenye box la hatari. Goli la Spain lililetwa na winger mwenyewe aliyeuleta mpira ndani ya box na kufunga siyo yale ya cross zinazokuja ndani ya box kufanya kizaa zaa.
 
Sasa mzeya sii ndio technical quality hiyo...wee unaletewa mapande alafu una mbwela mbwela wakati wenzio wanamalizia fasta...hiyo ndio tufauti ya bingwa na runner up.

Goli la spain yule captain kwa kweli alijituma maana ile sprint sii mchezo. Kulikuwa na mchezaji wa england alipitwa and the finish was sublime....ball imewekwa pembeni kabisa alafu mpira wa chini.
 
Back
Top Bottom