Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati mashindano yanaanza, Spain haikuwamo katika list ya Giants. Waliokuwa wanaheshimiwa ni USA, England, France, Netherlands, Sweden, Japan na Canada. Spain alikuwa ni underdogSpain quality all round...yaani mafundi kweli kweli. Uwekezaji wao umelipa
Wasiojua mpira but bliv u me if a nation can win u17 and u20 worldcups then u have to take that team seriously.Wakati mashindano yanaanza, Spain haikuwamo katika list ya Giants. Waliokuwa wanaheshimiwa ni USA, England, France, Netherlands, Sweden, Japan na Canada. Spain alikuwa ni underdog
England walicheza mpira mzuri tu na wangeweza kushinda. Weekaness ya England ilikuwa ni kwenye finishing. Yaani pale finishi palekuwa na ombwe kubwa sana leo. Mipira ilikuwa inaletwa na cross nzuri kwenye box kwa angle nzuri ya kufunga halafu striker ama anapiga nje au anajikanyaga hadi anyany'angwa. Mipira yote ya cross za England iliyopotezwa na striker ilikuwa inatosha sana kuipa England Ushindi kwani ilikuwa ni mingi kuliko ile ya Spain iliyofika kwenye box la hatari. Goli la Spain lililetwa na winger mwenyewe aliyeuleta mpira ndani ya box na kufunga siyo yale ya cross zinazokuja ndani ya box kufanya kizaa zaa.Wasiojua mpira but bliv u me if a nation can win u17 and u20 worldcups then u have to take that team seriously.
Ofcoz it goes without saying it was a shock for them to be beaten 5 by japan and i concur usa has always delivered come the biggest stage of them all. this time they lacked the never die attitude that has been at the heart of their dominance in women's football.
Yule mwanamama kocha wa england has done a great job unfortunately fortunes does not favour her. Second worldcup final defeat but needleas to say, england played against a team with superior technical quality
Sasa mzeya sii ndio technical quality hiyo...wee unaletewa mapande alafu una mbwela mbwela wakati wenzio wanamalizia fasta...hiyo ndio tufauti ya bingwa na runner up.England walicheza mpira mzuri tu na wangeweza kushinda. Weekaness ya England ilikuwa ni kwenye finishing. Yaani pale finishi palekuwa na ombwe kubwa sana leo. Mipira ilikuwa inaletwa na cross nzuri kwenye box kwa angle nzuri ya kufunga halafu striker ama anapiga nje au anajikanyaga hadi anyany'angwa. Mipira yote ya cross za England iliyopotezwa na striker ilikuwa inatosha sana kuipa England Ushindi kwani ilikuwa ni mingi kuliko ile ya Spain iliyofika kwenye box la hatari. Goli la Spain lililetwa na winger mwenyewe aliyeuleta mpira ndani ya box na kufunga siyo yale ya cross zinazokuja ndani ya box kufanya kizaa zaa.