ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
labda uwe unaangalia matukio bila kuyachungua,uefa ambayo kimsingi ndio fifa wana chuki na ligi ya uingereza,2009 zilifanyika juhud za makusud ili fainal ya uefa isijirudie kati ya chelsea na man u,chelsea walihujumiwa wakicheza na barcelona drogba akataka kumdunda refa,misimu miwil iliyopita kompany wa man city alikua kwenye kiwango bora,lakin namba yake pale kikosi cha fifa ikachukuliwd na ramos,modric,marcelo,alvez hawakustahik,wanachofanya ni kulazimisha la liga ionekane bora wakat ni ligi ya kipuuzi tuJana kuna mtu alipiga kelele hapa akiiponda ligi ya spain la liga na kuipaisha ligi ya england tukamuelewesha kiwango cha epl akakataa katakata na kuleta 'ushabiki'sasa leo afuatilie line up ya fifa lakini pia tutafute tatizo la kiwango cha epl ni nini?
Ligi ya kipuuzi imetoa mabingwa wawili uefa mfululizo na Mwaka huu wananabeba tena LA LIGA baba laolabda uwe unaangalia matukio bila kuyachungua,uefa ambayo kimsingi ndio fifa wana chuki na ligi ya uingereza,2009 zilifanyika juhud za makusud ili fainal ya uefa isijirudie kati ya chelsea na man u,chelsea walihujumiwa wakicheza na barcelona drogba akataka kumdunda refa,misimu miwil iliyopita kompany wa man city alikua kwenye kiwango bora,lakin namba yake pale kikosi cha fifa ikachukuliwd na ramos,modric,marcelo,alvez hawakustahik,wanachofanya ni kulazimisha la liga ionekane bora wakat ni ligi ya kipuuzi tu
Matatzo ya kushabikia mpira kuanzia 2008labda uwe unaangalia matukio bila kuyachungua,uefa ambayo kimsingi ndio fifa wana chuki na ligi ya uingereza,2009 zilifanyika juhud za makusud ili fainal ya uefa isijirudie kati ya chelsea na man u,chelsea walihujumiwa wakicheza na barcelona drogba akataka kumdunda refa,misimu miwil iliyopita kompany wa man city alikua kwenye kiwango bora,lakin namba yake pale kikosi cha fifa ikachukuliwd na ramos,modric,marcelo,alvez hawakustahik,wanachofanya ni kulazimisha la liga ionekane bora wakat ni ligi ya kipuuzi tu
Sio Valencia hii ya Neville, sevilla kalala nje ndani kwa man city, hata Madrid anatokwa jasho kwa atleticoEPL ni ligi maarufu ila si nzuri wala haizidi La liga. Timu kama Sevilla, Valencia, Altetico Madrid zinatosha kabisa kuwatoa jasho vigogo wa EPL
hujatoa hoja ya msingi,kama kuangalia mpira zaman ni hoja basi nimetazama mpira kabla wewe hujaijua supersportMatatzo ya kushabikia mpira kuanzia 2008
zilikutana lini?..na unajua maana ya ligi?EPL ni ligi maarufu ila si nzuri wala haizidi La liga. Timu kama Sevilla, Valencia, Altetico Madrid zinatosha kabisa kuwatoa jasho vigogo wa EPL
ronaldo mbona hakufanya upuuzi wa kufunga magoli 50 uingereza?EPL ni ligi maarufu ila si nzuri wala haizidi La liga. Timu kama Sevilla, Valencia, Altetico Madrid zinatosha kabisa kuwatoa jasho vigogo wa EPL
itakua hujui maana ya ligiLigi ya kipuuzi imetoa mabingwa wawili uefa mfululizo na Mwaka huu wananabeba tena LA LIGA baba lao
Ligi ya kipuuzi la liga??Wewe ligi yako huyo bingwa wenu leo yupo No 16 kwenye msimamo wa ligi!Kwenye Uefa hatua inayofuata ndio mwisho wenu!Na mkisgatoka tukutane tena hapalabda uwe unaangalia matukio bila kuyachungua,uefa ambayo kimsingi ndio fifa wana chuki na ligi ya uingereza,2009 zilifanyika juhud za makusud ili fainal ya uefa isijirudie kati ya chelsea na man u,chelsea walihujumiwa wakicheza na barcelona drogba akataka kumdunda refa,misimu miwil iliyopita kompany wa man city alikua kwenye kiwango bora,lakin namba yake pale kikosi cha fifa ikachukuliwd na ramos,modric,marcelo,alvez hawakustahik,wanachofanya ni kulazimisha la liga ionekane bora wakat ni ligi ya kipuuzi tu
EPL ni ligi inayobebwa na vyombo vya habari kama ilivyo VPL.
Lakini kwemakwema lakini?