Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,575
- 25,619
siyo first 11 tuu, bali hayupo kabisa kwenye kikosiNasikia hata SUAREZ naye hayumo kwenye first 11 ya FIFA....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siyo first 11 tuu, bali hayupo kabisa kwenye kikosiNasikia hata SUAREZ naye hayumo kwenye first 11 ya FIFA....
matic nafasi ya modric,koscielny,kompany nafas ya ramos,chagua mwenyewe ozil utamuweka namba ganiHebu taja mchezaji yupi EPL anastahili kuwa kwenye hicho kikosi cha FIFA XI. Na anachukua nafasi ya nani?
epl hata mechi ya everton na spurs tamu,kuna mechi nying tam kuliko la liga ambako el clasico tu ndo nzuriEPl ni Matangazo tu
Na Yale mazoea tika awali lakini kwasasa hawana lolote
Ya kipuuzi kivipi wakati kama miaka mitatu mfululizo timu zao zinacheza both Europa na CL finals??labda uwe unaangalia matukio bila kuyachungua,uefa ambayo kimsingi ndio fifa wana chuki na ligi ya uingereza,2009 zilifanyika juhud za makusud ili fainal ya uefa isijirudie kati ya chelsea na man u,chelsea walihujumiwa wakicheza na barcelona drogba akataka kumdunda refa,misimu miwil iliyopita kompany wa man city alikua kwenye kiwango bora,lakin namba yake pale kikosi cha fifa ikachukuliwd na ramos,modric,marcelo,alvez hawakustahik,wanachofanya ni kulazimisha la liga ionekane bora wakat ni ligi ya kipuuzi tu
Mara ya mwisho timu inayoshiriki Europa kutoka England kuchukua hilo kombe ilikuwa lini??epl hata mechi ya everton na spurs tamu,kuna mechi nying tam kuliko la liga ambako el clasico tu ndo nzuri
labda uwe unaangalia matukio bila kuyachungua,uefa ambayo kimsingi ndio fifa wana chuki na ligi ya uingereza,2009 zilifanyika juhud za makusud ili fainal ya uefa isijirudie kati ya chelsea na man u,chelsea walihujumiwa wakicheza na barcelona drogba akataka kumdunda refa,misimu miwil iliyopita kompany wa man city alikua kwenye kiwango bora,lakin namba yake pale kikosi cha fifa ikachukuliwd na ramos,modric,marcelo,alvez hawakustahik,wanachofanya ni kulazimisha la liga ionekane bora wakat ni ligi ya kipuuzi tu
Hizi ni tuzo za FIFA so wanaweza kubadilisha utaratibu wa kuchagua hao wachezaji,siku hizi hicho kikosi hakireflect na viwango ambavyo vimeonyeshwa na hao wachezaji wengi wanachaguliwa kwa reputation yao huko nyuma.Mwaka 2015 Alaba,Boateng,Godin,KDB,Chielini,Vidal,Basquet,Verrati ni miongoni mwa wachezaji waliofanya vizuri lakini hawapo kwenye hicho kikosiMkuu kama vitu huvijui Bora kunyamaza kuliko kupotosha mambo kwa hisia zao. Wachezaji waliokuwa kwenye FIFPRO IX pamoja na Puska Goal award ni matokeo yalipatikana kwa kura zilizopigwa na mashabiki wa soka ulimwenguni. Swali je wewe ulipiga kura? Au umekaa tu kulaumu FIFA na UEFA kwasababu Kompany hayumo? Acha upotoshaji ndugu.
Hizi ni tuzo za FIFA so wanaweza kubadilisha utaratibu wa kuchagua hao wachezaji,siku hizi hicho kikosi hakireflect na viwango ambavyo vimeonyeshwa na hao wachezaji wengi wanachaguliwa kwa reputation yao huko nyuma.Mwaka 2015 Alaba,Boateng,Godin,KDB,Chielini,Vidal,Basquet,Verrati ni miongoni mwa wachezaji waliofanya vizuri lakini hawapo kwenye hicho kikosi
Nasikia hata SUAREZ naye hayumo kwenye first 11 ya FIFA....
baada ya scandal za fifa bado unawaamin?hivi messi alistahik tuzo mwaka 2010 kuliko iniesta?2009 kuliko muholanzi wa inter alieenda uturuk?..hata yeye mwenyewe alishangaa kupewa tuzo,hivi tuzo ya kombe la dunia aliyopewa messi 2014 alistahik?bayern na juve hakuna wachezaj wa maana kuliko modric,ramos,alves,marcelo? Hizo kura ulizihakik ukaona wametenda haki?..mwaka 2008 chelsea na man walcheza fainal uefa,2009 muelekeo ukawa huo,platin akadai asingependa fainal ijirudie,kilchotokea katika mech ya chelse na barcelona hakiakisi maneno ya platin?Mkuu kama vitu huvijui Bora kunyamaza kuliko kupotosha mambo kwa hisia zao. Wachezaji waliokuwa kwenye FIFPRO IX pamoja na Puska Goal award ni matokeo yalipatikana kwa kura zilizopigwa na mashabiki wa soka ulimwenguni. Swali je wewe ulipiga kura? Au umekaa tu kulaumu FIFA na UEFA kwasababu Kompany hayumo? Acha upotoshaji ndugu.
ka-googleMara ya mwisho timu inayoshiriki Europa kutoka England kuchukua hilo kombe ilikuwa lini??
ukitoa messi,ronaldo,neymar kuna wachezaj gan wa ajabu la liga?May be I can agree with you, lakini sikubaliani na mkuu pale juu kwamba FIFA na UEFA wanachuki na EPL ndio maana wachezaji wa kutoka kule hawamo kwenye tuzo. Kama ulimsikia Rio Ferdinand juzi aliongea ukweli mtu. Kasema EPL ya siku hizi ni tofauti na ya zamani kwasababu imejaa full of mediocre players.
ongeza ufaham wako kwanza,inaelekea we ni mzito kuelewaKwahiyo logic yako ni kwamba EPL hawanyanyui UEFA Cup kwasababu wanaonewa? Teh teh teh embu taja timu ya uingereza kwa sasa unayoiona wewe inastahili kubeba UEFA cup
Ya kipuuzi kivipi wakati kama miaka mitatu mfululizo timu zao zinacheza both Europa na CL finals??
tofautisha uzuri wa ligi na uzuri wa timu.ligi ya hispania haisisimui ni ya timu mbili na inajulikana kbisa bingwa ni naniLigi ya kipuuzi imetoa mabingwa wawili uefa mfululizo na Mwaka huu wananabeba tena LA LIGA baba lao
Jibu swali. Na sioni haja ya kuleta lugha chafu badala ya hoja.ongeza ufaham wako kwanza,inaelekea we ni mzito kuelewa