inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
uingereza hakuanzisha mpira,aliuboresha tuWaingereza huwa wananichekesha sana... Wanasema wao ndio walianzisha mpira huku duniani, Sasa wenzao Wamarekani wanawacheka, wanawaambia kwanini mnasema mlianzisha mpira wakati hamshindi chochote kwenye mashindano ya kimataifa yama World Cup au Europe Cup... Wenzao wamarekani wanasema tulianzisha Basketball na kweli Olympics zote wao ndio wanachukua Gold Medal...
Ifike mahali Uingereza wakubali kwamba wao ni vilaza kwenye mpira ila ni media tu inawabeba... Sasa yule wanayemwita White Pele Runinga hajawahi kuchukua kiatu cha mfungaji bora hata mara moja kwenye ligi yao... Wanachukua wageni tu kutoka nchi zingine..