Fifa XI 2015, kulikoni wachezaji EPL?

Fifa XI 2015, kulikoni wachezaji EPL?

Kwani EPL ukiacha man u Chelsea na man city Ni nani kashuchukua ubingwa ndani ya miaka 10 iliyopita!!
angalia ushindan upoje,ni timu tatu hizo na zingne 2 haziwi mbali,lakini juu ya yote ushindan upo,kwenda uwanjan kwa new castle unakua huna uhakika wa ushind kama barca anavoenda kwa getafe,vigo,sevilla..yaan akifungwa ni bonge la breaking news
 
Kwani EPL ukiacha man u Chelsea na man city Ni nani kashuchukua ubingwa ndani ya miaka 10 iliyopita!!
zamzni si alichukua man u peke yake.lakini leo wanapokezana na timu ndogo inapasua timu kubwa pia,halafu bingwa wa hispania akiwa na pointi 80 mwisho wa ligi atayefuata atakuwa na 65 wa tatu 40 hamna ligi hapo la liga msilete.mtuache na rugby yetu.halafu mtufanyie mpango siku moja mtuletee messy tumkomaze.asicheze na wasichana huko hispania.wa pili hapo labda barca au madrid ndio angalau atafuatia
 
mi naangalia sana la liga,ila inaniboa,yaan kitimu mpaka dk ya 20 kitaongoza kwa goli 2 dhidi ya barca au madrid,dk ya 60 utakuta kmeshapgwa 5

Bro, I'm out of This. We uipende au usiipende la liga hakuna tofauti yoyote utakayoleta. Good lucky with EPL. Lakini next Time ukiona kuna mchezaji anafaa kuwa kwenye FIFPRO IX, vote. Na ukisha vote kubali matokeo usilazimishe watu wote wakubaliane na mawazo yako. Bye!!!
 
zamzni si alichukua man u peke yake.lakini leo wanapokezana na timu ndogo inapasua timu kubwa pia,halafu bingwa wa hispania akiwa na pointi 80 mwisho wa ligi atayefuata atakuwa na 65 wa tatu 40 hamna ligi hapo la liga msilete.mtuache na rugby yetu.halafu mtufanyie mpango siku moja mtuletee messy tumkomaze.asicheze na wasichana huko hispania.wa pili hapo labda barca au madrid ndio angalau atafuatia
bado unaiman na sanduku la kura?
 
Suarez Antonio Guzman Iniesta godin modric na wengineo
suarez na coutinho nan anajua mpira,huyo modric hamfikii kante wa leicester city,na msimu ulopta muda mrefu alikua majeruh kaingiaje FIFA XI?
 
Haya sasa mahaba yamezidi baada ya messi ronaldo anafuata suarez halafu neymar so usimfananishe huyo jamaa yako na suarez maana Ana safari ndefu kumfikia. Weka stats za coutinho na suarez halafu tulinganishe.
 
Mimi nachoona la liga ipo juu zaidi kuliko epl. Licha ya kulipwa mishahara mikubwa wachezaji wanao cheza epl hawana qualities kuwashinda wale wanaocheza la liga. Kwa mfano hakuna mchezaji hata m1 anayecheza man U, Liverpoll na Arsenal mwenye hadhi ya kuvaa jersey ya Barcelona, Madrid au A madrid. Ila woote wanaocheza hivyo vilabu vi3 nilivyovitaja hapo wanao uwezo wa kuvaa jersey za asena, livapuli na manchester na wakaperform vizuri ile mbaya.

Wengi wetu tunapenda kuangalia epl ambayo vyombo vingi vya habari wanaipa promo huku soka linalochezwa likiwa bovu bila mvuto. Kuna mtu mmoja aliwahi kusema wachezaji woote waliitoja la liga ndio wanairun epl. Akaweka ba orodha yao. Kun Aguerro, Silva, Toure yaya, Navas, Cazolla, Fabbie, Mata Azpicuelta na wengine hawa ndio wanaotia ladha ya kiisponiola epl.
 
Modric ana kiwango kuliko Hazard, Sanchez,Aguero,Toure na Ramos anawazid Kompany,Hummels, Stones ngumu kumesa.
Mkuu unamaanisha modric anacheza nafasi moja sawa na aguero??

Nna doubt sana uelewa wako wa huu mchezo..
 
baada ya scandal za fifa bado unawaamin?hivi messi alistahik tuzo mwaka 2010 kuliko iniesta?2009 kuliko muholanzi wa inter alieenda uturuk?..hata yeye mwenyewe alishangaa kupewa tuzo,hivi tuzo ya kombe la dunia aliyopewa messi 2014 alistahik?bayern na juve hakuna wachezaj wa maana kuliko modric,ramos,alves,marcelo? Hizo kura ulizihakik ukaona wametenda haki?..mwaka 2008 chelsea na man walcheza fainal uefa,2009 muelekeo ukawa huo,platin akadai asingependa fainal ijirudie,kilchotokea katika mech ya chelse na barcelona hakiakisi maneno ya platin?

Mbona man ilishindwa kuwafunga barcelona...

Kwa mtu yeyote anayejua mpira akiskia unaitaja Barcelona ya Pep guardiola ambayo by majority decision ni the best team so far katika karne hii ya 21 na timu ya EPL anaweza kukupiga mawe
 
Mimi nachoona la liga ipo juu zaidi kuliko epl. Licha ya kulipwa mishahara mikubwa wachezaji wanao cheza epl hawana qualities kuwashinda wale wanaocheza la liga. Kwa mfano hakuna mchezaji hata m1 anayecheza man U, Liverpoll na Arsenal mwenye hadhi ya kuvaa jersey ya Barcelona, Madrid au A madrid. Ila woote wanaocheza hivyo vilabu vi3 nilivyovitaja hapo wanao uwezo wa kuvaa jersey za asena, livapuli na manchester na wakaperform vizuri ile mbaya.

Wengi wetu tunapenda kuangalia epl ambayo vyombo vingi vya habari wanaipa promo huku soka linalochezwa likiwa bovu bila mvuto. Kuna mtu mmoja aliwahi kusema wachezaji woote waliitoja la liga ndio wanairun epl. Akaweka ba orodha yao. Kun Aguerro, Silva, Toure yaya, Navas, Cazolla, Fabbie, Mata Azpicuelta na wengine hawa ndio wanaotia ladha ya kiisponiola epl.
Cech,DDG,Cortous,Ozil,Koscienly,Sanchez,Martial,Hazard,Coutinho hawa wanacheza hizo timu
 
Mbona man ilishindwa kuwafunga barcelona...

Kwa mtu yeyote anayejua mpira akiskia unaitaja Barcelona ya Pep guardiola ambayo by majority decision ni the best team so far katika karne hii ya 21 na timu ya EPL anaweza kukupiga mawe
arsenal alimfunga barcelona,hapakua na xavi,iniesta wala messi,mechi ya marudiano refa alipoona hali mbaya akatoa kadi nyekundu kwa van persie tena arsenal ikiwa na wachezaj saba wa kikosi cha kwanza wakiwa majeruhi,barcelona hyohyo ikatolewa na chelsea nusu fainali
 
Back
Top Bottom