Fifa XI 2015, kulikoni wachezaji EPL?

Fifa XI 2015, kulikoni wachezaji EPL?

Mimi nachoona la liga ipo juu zaidi kuliko epl. Licha ya kulipwa mishahara mikubwa wachezaji wanao cheza epl hawana qualities kuwashinda wale wanaocheza la liga. Kwa mfano hakuna mchezaji hata m1 anayecheza man U, Liverpoll na Arsenal mwenye hadhi ya kuvaa jersey ya Barcelona, Madrid au A madrid. Ila woote wanaocheza hivyo vilabu vi3 nilivyovitaja hapo wanao uwezo wa kuvaa jersey za asena, livapuli na manchester na wakaperform vizuri ile mbaya.

Wengi wetu tunapenda kuangalia epl ambayo vyombo vingi vya habari wanaipa promo huku soka linalochezwa likiwa bovu bila mvuto. Kuna mtu mmoja aliwahi kusema wachezaji woote waliitoja la liga ndio wanairun epl. Akaweka ba orodha yao. Kun Aguerro, Silva, Toure yaya, Navas, Cazolla, Fabbie, Mata Azpicuelta na wengine hawa ndio wanaotia ladha ya kiisponiola epl.
vipi kuhusu bale,suarez,ronaldo,modric
 
arsenal alimfunga barcelona,hapakua na xavi,iniesta wala messi,mechi ya marudiano refa alipoona hali mbaya akatoa kadi nyekundu kwa van persie tena arsenal ikiwa na wachezaj saba wa kikosi cha kwanza wakiwa majeruhi,barcelona hyohyo ikatolewa na chelsea nusu fainali
Hujishangai upo mwenyewe unayetetea??
 
Mimi nachoona la liga ipo juu zaidi kuliko epl. Licha ya kulipwa mishahara mikubwa wachezaji wanao cheza epl hawana qualities kuwashinda wale wanaocheza la liga. Kwa mfano hakuna mchezaji hata m1 anayecheza man U, Liverpoll na Arsenal mwenye hadhi ya kuvaa jersey ya Barcelona, Madrid au A madrid. Ila woote wanaocheza hivyo vilabu vi3 nilivyovitaja hapo wanao uwezo wa kuvaa jersey za asena, livapuli na manchester na wakaperform vizuri ile mbaya.

Wengi wetu tunapenda kuangalia epl ambayo vyombo vingi vya habari wanaipa promo huku soka linalochezwa likiwa bovu bila mvuto. Kuna mtu mmoja aliwahi kusema wachezaji woote waliitoja la liga ndio wanairun epl. Akaweka ba orodha yao. Kun Aguerro, Silva, Toure yaya, Navas, Cazolla, Fabbie, Mata Azpicuelta na wengine hawa ndio wanaotia ladha ya kiisponiola epl.
coutinho,sanchez,ozil,hazard,willian..halafu hao wanaocheza la liga wanatokea wapi?
 
vipi,umemaliza matusi?
Hizi nguvu za ubishi ziweke kwenye kutafuta pesa.. Miaka 28 kukaa siku nzima unabisha jambo moja inaonekana huna shughuli ya kufanya... Jitahidi shemeji anakereka na uwepo wako usio na faida hapo kwake
 
Haya sasa mahaba yamezidi baada ya messi ronaldo anafuata suarez halafu neymar so usimfananishe huyo jamaa yako na suarez maana Ana safari ndefu kumfikia. Weka stats za coutinho na suarez halafu tulinganishe.
stats zipi unataka?..magoli,assist au work rate
 
Hizi nguvu za ubishi ziweke kwenye kutafuta pesa.. Miaka 28 kukaa siku nzima unabisha jambo moja inaonekana huna shughuli ya kufanya... Jitahidi shemeji anakereka na uwepo wako usio na faida hapo kwake
labda kama unataka nikuajiri,unadhan kila mtu inabid aamke mapema kila siku na kurudi usiku kwa ajili ya kutafuta fedha?..nilipokua na miaka 28 nilikua nafanya masters
 
JF bana kila mtu kajiajiri na kila mtu ana elimu zaidi ya kadegree hehehehehe
 
Njoo basi huku duniani tufahamiane mkuu.. Labda nitapata kibarua cha kukata Majani kwako
sifahamiani na watu waliopata malezi yenye mapungufu,siku ukiwa na busara ukajifunza kua kutukana watu na hasa usiowajua ni jambo baya..tutatafuta nafasi tufahamiane
 
Hata mgao wa pesa ya matangazo ya television ni real mad na barca ndo team zinapata mgao mkubwa kuliko team zingine..ligi bora team mbili? Hapa nasubiri bonge ya match..liverpool vs Arsenal.
Timu zenu zote kubwa zime draw...maanake zote ni dhoofir hal...walianza Man juzi sasa na hao wengine mechi kali iko wapi? Hebu subiria Arsenal na Barcelona hivi karibuni mfundishwe soccer
 
timu gan haijawah kudroo?
 
Ku draw kawaida ila kwa uk timu zenu hasa hizo kubwa zimeshuka sana ungesikia maoni ya Rio ferdinand juzi kuhusu soka la uk la sasa wala usingebisha
 
Timu zenu zote kubwa zime draw...maanake zote ni dhoofir hal...walianza Man juzi sasa na hao wengine mechi kali iko wapi? Hebu subiria Arsenal na Barcelona hivi karibuni mfundishwe soccer
Nilimaanisha game zitakua na ushindani mkubwa sana...nadhani umeshuhudia mwenyewe.
 
Back
Top Bottom