el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,058
Huyu jamaa naona kaamua kubisha tu na anajua kuwa la liga ina timu kali zote kwa ujumla ukiacha madrid na barca..
Kama madrid na barca ndo wakali peke yao mbona team za england zinambwela europa mashindano ambayo madrid na barca hawapo na bado europa inachukuliwa na team za spain tena mfululizo?
Kama ligi ya spain ni mbovu kwann team zote za engalnd zikikutana na madrid,barca zinakuwa regarded as underdogs?
Yaani hata man united na chelsea zilipokuwa katika ubora wao kila wakikutana na madrid au barca wanakuwa regarded as underdogs... huyo jamaa anayebisha hapo juu hata hiki kitu kidogo tu kashindwa kujiuliza?
Akili kumkichwa