FIFA yaifungia Congo Brazzaville Uanachama kwa muda usiojulikana kufuatia machafuko ya Kisiasa yanayoendelea nchini humo

FIFA yaifungia Congo Brazzaville Uanachama kwa muda usiojulikana kufuatia machafuko ya Kisiasa yanayoendelea nchini humo

Shirikisho la soka Duniani FIFA limetangaza rasmi kuifungia Congo DR uanachama wake kwa muda usijulikana kutokana na machafuko ya kisiasa yanayoendelea nchini humo na kusababisha vifo.

Kwa maana hiyo Congo DR timu yao ya Taifa, Vilabu vyao na Viongozi wao hawataruhusiwa kushiriki michezo yoyote ya Kimataifa (CHAN, AFCON, CAFCL, CAFCC, Kombe la Dunia) hadi adhabu hiyo itakapoondolewa.

View attachment 3227286
Acha Upotoshaji
 
Wanafiki wakubwa! Mbona Ukraine hakufungiwa!? Syria?! Afghanistan? Russia? Ila DRC Congo 😃 Wazungu bhana
 
Wewe ni "much know".

Ni ujinga kusema eti "TFF ya Congo Brazaville"
Halafu ukirekebishwa unajiona bado mjanja.

TFF ni shirikisho la soka Tanzania.
Hakuwezi kuwa ma "Shirikisho la Soka la Tanzania la Congo."
Usicomplicate mambo hata yeye hata yeye alijaribu kutumia lugha rahisi kumaanisha shirikisho kama TFF nchini Congo.
 
Wewe ni "much know".

Ni ujinga kusema eti "TFF ya Congo Brazaville"
Halafu ukirekebishwa unajiona bado mjanja.

TFF ni shirikisho la soka Tanzania.
Hakuwezi kuwa ma "Shirikisho la Soka la Tanzania la Congo."
Vodashop ya tigo
 
Back
Top Bottom