LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
ahaa! Tulidhani ni DRC povu likatutokaTofautisha Congo DRC na Congo Brazzavile. Waliofungiwa ni Congo Brazavile sio Congo DRC ya kina Mayele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahaa! Tulidhani ni DRC povu likatutokaTofautisha Congo DRC na Congo Brazzavile. Waliofungiwa ni Congo Brazavile sio Congo DRC ya kina Mayele
Acha UpotoshajiShirikisho la soka Duniani FIFA limetangaza rasmi kuifungia Congo DR uanachama wake kwa muda usijulikana kutokana na machafuko ya kisiasa yanayoendelea nchini humo na kusababisha vifo.
Kwa maana hiyo Congo DR timu yao ya Taifa, Vilabu vyao na Viongozi wao hawataruhusiwa kushiriki michezo yoyote ya Kimataifa (CHAN, AFCON, CAFCL, CAFCC, Kombe la Dunia) hadi adhabu hiyo itakapoondolewa.
View attachment 3227286
Umeisoma vzr hiyo taarifa?Naona kama FIFA imekurupuka. Congo imefanya nini wakati yenyewe ndio inashambuliwa na waasi? Ilitakiwa hiyo ban Rwanda ipigwe kwa kusaidia waasi wa M23 mashariki mwa DRC
Mjinga ni kuachana nae,kuna watu humu huwa wanamsongo wa mawazo hapo anatafuta ligi ili apunguze msongoHaya
Acha ujuaji wa darasa la kwanza,lakin si umeelewa ,kubafuWewe ni "much know".
Ni ujinga kusema eti "TFF ya Congo Brazaville"
Halafu ukirekebishwa unajiona bado mjanja.
TFF ni shirikisho la soka Tanzania.
Hakuwezi kuwa ma "Shirikisho la Soka la Tanzania la Congo."
tayari nimeishakomenti, kumbe ni congo brazaville?Umeisoma vzr hiyo taarifa?
Hiko kichwa kitie maji ili kiwe chepesi ktk kuelewa.TFF tena?
Jamaa ana kichwa kizito ka jiweAcha ujuaji wa darasa la kwanza,lakin si umeelewa ,kubafu
Braza mbona hapo jamaa kaeleweka kabisa mm naona ww ndo huelewiWew ndio huelewi hata ulichokiandika.
Usicomplicate mambo hata yeye hata yeye alijaribu kutumia lugha rahisi kumaanisha shirikisho kama TFF nchini Congo.Wewe ni "much know".
Ni ujinga kusema eti "TFF ya Congo Brazaville"
Halafu ukirekebishwa unajiona bado mjanja.
TFF ni shirikisho la soka Tanzania.
Hakuwezi kuwa ma "Shirikisho la Soka la Tanzania la Congo."
Vodashop ya tigoWewe ni "much know".
Ni ujinga kusema eti "TFF ya Congo Brazaville"
Halafu ukirekebishwa unajiona bado mjanja.
TFF ni shirikisho la soka Tanzania.
Hakuwezi kuwa ma "Shirikisho la Soka la Tanzania la Congo."
Yes na kuso ni serikali kuingilia mambo ya michezoTofautisha Congo DRC na Congo Brazzavile. Waliofungiwa ni Congo Brazavile sio Congo DRC ya kina Mayele
OK wewe umeelewa nini?Braza mbona hapo jamaa kaeleweka kabisa mm naona ww ndo huelewi
Jamaa yupo sawa tu sema we unamjua mpaka umezidiWew ndio huelewi hata ulichokiandika.
Nimecheka sana, jamaa akajua TFF ya KariaWe ni mgumu sana kuelewa... 'TFF' ya Congo Brazzaville.