njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Yanga inafichiwa ujinga ujinga na mafanikio yake ya hivi karibuni lakini ni uswahili hizi timu za kariakoo uko damuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli yanga ni utopolo wamemvalisha hadi kinyago alafu wamemtapeli
Hii timu nikama mwizi ili uwe umemuweza umchome moto kabisa lakini ukimpeleka gerezani siku akitoka anaiba tena✋🏻✋🏻✋🏻😂😂😂
Alilipia kubebwa kwenye kabati!
🤣🤣😂😂😂Hii timu nikama mwizi ili uwe umemuweza umchome moto kabisa lakini ukimpeleka gerezani siku akitoka anaiba tena✋🏻✋🏻✋🏻😂😂😂
Anaigharimu Yanga kwa kutwaa Mataji!!Hersi ana igharimu utopolo kwa sajili zake za kukurupuka
Yapi ambayo Yanga haijawahi kutwaa bila hizo gharama?Anaigharimu Yanga kwa kutwaa Mataji!!
Yapi ambayo Yanga haijawahi kutwaa bila hizo gharama?Anaigharimu Yanga kwa kutwaa Mataji!!
Makolo banaa mnajuaa kujifariji sanaa,izo sajili za kukurupuka ndo zimefanya Yanga kuwa apo saivi..Hersi ana igharimu utopolo kwa sajili zake za kukurupuka