njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Kweli yanga ni utopolo wamemvalisha hadi kinyago alafu wamemtapeli
Hii timu nikama mwizi ili uwe umemuweza umchome moto kabisa lakini ukimpeleka gerezani siku akitoka anaiba tenaβπ»βπ»βπ»πππ
Alilipia kubebwa kwenye kabati!
π€£π€£πππHii timu nikama mwizi ili uwe umemuweza umchome moto kabisa lakini ukimpeleka gerezani siku akitoka anaiba tenaβπ»βπ»βπ»πππ
Anaigharimu Yanga kwa kutwaa Mataji!!Hersi ana igharimu utopolo kwa sajili zake za kukurupuka
Yapi ambayo Yanga haijawahi kutwaa bila hizo gharama?Anaigharimu Yanga kwa kutwaa Mataji!!
Yapi ambayo Yanga haijawahi kutwaa bila hizo gharama?Anaigharimu Yanga kwa kutwaa Mataji!!
Makolo banaa mnajuaa kujifariji sanaa,izo sajili za kukurupuka ndo zimefanya Yanga kuwa apo saivi..Hersi ana igharimu utopolo kwa sajili zake za kukurupuka