FIFA yaifungia Yanga kusajili kutokana na kushindwa kulipa madai ya Augustine Okrah

Makolo banaa mnajuaa kujifariji sanaa,izo sajili za kukurupuka ndo zimefanya Yanga kuwa apo saivi..
Ni kweli maana usajili wa chama na dube ndo umesababisha mfikie hatua ya kufungwa mechi 2 mfululizo
 
Bado boka nasikia bado hawamaliza pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…