Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
hahahahaNiliona Clip yake moja...
Anangangania kupiga picha na Messi, Messi ni kama hataki ila yeye anangangana hatari..
Kombe lenyewe alikuwa analishika kihuni kihuni tu[emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaNiliona Clip yake moja...
Anangangania kupiga picha na Messi, Messi ni kama hataki ila yeye anangangana hatari..
Kombe lenyewe alikuwa analishika kihuni kihuni tu[emoji2]
Yiwe, ulige?Niliona Clip yake moja...
Anangangania kupiga picha na Messi, Messi ni kama hataki ila yeye anangangana hatari..
Kombe lenyewe alikuwa analishika kihuni kihuni tu[emoji2]
nionekane tu nina roho mbaya au nina wivu, ila kiukweli hili jamaa lichoma nyama mimi silipendi.Jamaa HuyoView attachment 2453699
😀 😀😀Limechafuka zile chumvi zake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahyo imekuwa nyama choma festival
Kumbe na ww kama miminionekane tu nina roho mbaya au nina wivu, ila kiukweli hili jamaa lichoma nyama mimi silipendi.
halinijui na wala mimi silijui zaidi ya kuliona tu kule instagram. nimejikuta tu nalichukia na wala sina sababu.
i speak my mind...sipendi unafiki.
Eti Salt BaeLimechafuka zile chumvi zake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata hivo Lina harufu ya mbwa alieanza ozaShirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA limelaani kitendo cha mpishi maarufu duniani Nusr Et maarufu Salt Bae ambaye huchoma nyama na kuwalisha mastaa wakubwa duniani kulishika kombe la dunia siku ya Jumapili ambapo Argentina iliibuka bingwa.
Mchoma nyama huyo tajiri aliingia sehemu ya Uwanjani kujumuika na wachezaji kushangilia ushindi ambapo alipiga picha na nyota mbalimbali akiwemo Messi na Di Maria na ndipo alipopata fursa ya kulishika kombe wakati ambao Wachezaji wanafurahi nalo na kupiga picha.
FIFA imelaani kitendo hicho ikisema kombe hilo linapaswa kushikwa na wachezaji walioshinda na watu maalum waliopitishwa na FIFA hivyo mtu hata awe maarufu vipi sio kigezo cha kulishika kombe.
NB: Nikukumbushe hata lilipopita Tanzania kama ulivyo utaratibu wa FIFA kulipitisha kombe nchi mbalimbali kabla halijaenda kwenye nchi inayofanyika mashindano aliyepitishwa kulishika ni Rais Samia pekee wengine walipiga nalo picha likiwa ndani ya chumba chake cha box la kioo.
Mambo ya Branding Beshti....Eti Salt Bae
nionekane tu nina roho mbaya au nina wivu, ila kiukweli hili jamaa lichoma nyama mimi silipendi.
halinijui na wala mimi silijui zaidi ya kuliona tu kule instagram. nimejikuta tu nalichukia na wala sina sababu.
i speak my mind...sipendi unafiki.
Namuonaga kwenye clip zakee..nadhani zinaongezeka utamu hahahhhMambo ya Branding Beshti....
Ni hiyo nyama anavyoikataga kwa mbwembwe sasa[emoji119]