FIFA yalaani mchoma nyama kulishika kombe la dunia

nionekane tu nina roho mbaya au nina wivu, ila kiukweli hili jamaa lichoma nyama mimi silipendi.

halinijui na wala mimi silijui zaidi ya kuliona tu kule instagram. nimejikuta tu nalichukia na wala sina sababu.

i speak my mind...sipendi unafiki.
Kumbe na ww kama mimi
Jamaa kama msengemsenge hivi, kama ana shoboshobo au mshamba fulani.
Nawahusudu waturuki ila jamaa namuona fala tu.
 
Lazima wamachukie kwa sababu bei zake za nyama kubwa sn kwenye Restaurant zake sasa watu tuna tamani kula nyama zake lkn bei ndio kikwazo lazima ni kuchukie unauza nyama kama unauzia watu sijui kitu gani .
 
Hata hivo Lina harufu ya mbwa alieanza oza
 
nionekane tu nina roho mbaya au nina wivu, ila kiukweli hili jamaa lichoma nyama mimi silipendi.

halinijui na wala mimi silijui zaidi ya kuliona tu kule instagram. nimejikuta tu nalichukia na wala sina sababu.

i speak my mind...sipendi unafiki.

Ni mtu anajitafutia riziki yake ana familia ana watoto wanamtegemea
 
Kumbe kombe halitakiwi kushikwa lina nin?
 
Kombe lenyewe limetengenezwa na dhahabu za uwizi kutoka Africa afu bado wanataka watu wasilishike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…