FIFA yalaani mchoma nyama kulishika kombe la dunia

Niliona Clip yake moja...
Anangangania kupiga picha na Messi, Messi ni kama hataki ila yeye anangangana hatari..

Kombe lenyewe alikuwa analishika kihuni kihuni tu[emoji2]
Ni suala la kumbukumbu tu.. Huyo jamaa ni maarufu sana na FutPlayers wengi ni wateja na washkaji zake..
 
FIFA nao naona wanataka kuwa kama mambo fulani ya imani, vitabu, mitume etc , binadamu tukishazoea miaka 1000 ijayo watu waanze kuamini hilo kombe ni mungu na ukiligusa adhabu yake kifo, pumbaf sana
 
Kama limepata najisi basi watupe Tanzania mpaka miaka minne najisi itakuwa imetoka.
 
Kama vipi Hilo kombe litupiliwe mbali watengenezeana kombe jipya Tanzania ipewe furss ya kuandaa shindano hilo, kipute kianze upya.
 
WAPELEKE JIPY KAMA WAMEKAASIRIKA PAMBAVUU WALITAKA WACHOMA KITIMOTO??
 
Huo ndo upuuzi wa kombe kufanyikia kwa wavaa kobazi.
No seriousness
Wangeshangaa lingekutwa msikitini kabisa
 
Nasikia jamaa anapikaaa ngrooo htaree hulitena nyamayangombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…