Pointi yangu hapa ni kama atakwenda jela kuna maana gani tena ya kufungiwa na FIFA kujihusisha na soka ilihali tayari atakuwa hayupo uraiani kwa hiyo miaka kumi?
Bado na google hapa kuzifahamu "mahakama za jiwe".Ukitafuta threads humu wakati Jamal Malinzi anawania kuchukua nafasi ya Leodgar Tenga kama President wa TFF, mimi niliwatahadhalisha wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF na wadau wote wa soccer nchini kuwa huyo bwana alikuwa anasaka nafasi ile kwa udi na uvumba ili aende kuiba na sio kwenda kuendeleza soccer!! Hilo sasa limethibitishwa na amekwisha hukumiwa na FIFA na bado hukumu ya mahakama za JIWE!!!
Bado na google hapa kuzifahamu "mahakama za jiwe".
Serikal ya Kizalendo ya awamu ya tano
Serikali za nchi sio wadau wa FIFA