Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kwa sababu FIFA ni mamlaka nyingine na Serikali ya JMT ni mamlaka nyingine, kila chombo kimoja hapo kinaendesha mambo yake...
Kafungiwa na FIFA kwa kukiuka kanuni zake...
Wakati huo huo yupo rumande kwa mashtaka ya jinai kwa mujibu wa katiba ya JMT...
Kafungiwa na FIFA kwa kukiuka kanuni zake...
Wakati huo huo yupo rumande kwa mashtaka ya jinai kwa mujibu wa katiba ya JMT...
Pointi yangu hapa ni kama atakwenda jela kuna maana gani tena ya kufungiwa na FIFA kujihusisha na soka ilihali tayari atakuwa hayupo uraiani kwa hiyo miaka kumi?