FIFA yamfungia Jamali Malinzi kujihusiha na soka kwa Miaka kumi kwa tuhuma za kughushi na ubadhirifu wa fedha

FIFA yamfungia Jamali Malinzi kujihusiha na soka kwa Miaka kumi kwa tuhuma za kughushi na ubadhirifu wa fedha

Kwa sababu FIFA ni mamlaka nyingine na Serikali ya JMT ni mamlaka nyingine, kila chombo kimoja hapo kinaendesha mambo yake...

Kafungiwa na FIFA kwa kukiuka kanuni zake...

Wakati huo huo yupo rumande kwa mashtaka ya jinai kwa mujibu wa katiba ya JMT...
Pointi yangu hapa ni kama atakwenda jela kuna maana gani tena ya kufungiwa na FIFA kujihusisha na soka ilihali tayari atakuwa hayupo uraiani kwa hiyo miaka kumi?
 
Ukitafuta threads humu wakati Jamal Malinzi anawania kuchukua nafasi ya Leodgar Tenga kama President wa TFF, mimi niliwatahadhalisha wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF na wadau wote wa soccer nchini kuwa huyo bwana alikuwa anasaka nafasi ile kwa udi na uvumba ili aende kuiba na sio kwenda kuendeleza soccer!! Hilo sasa limethibitishwa na amekwisha hukumiwa na FIFA na bado hukumu ya mahakama za JIWE!!!
Bado na google hapa kuzifahamu "mahakama za jiwe".
 
Rais waungu sinachakusema naona mahakamaa wakioona hayamatokeo n balaa HUKO mahakamni

Nta
Screenshot_20191112-105048.png
Screenshot_20191112-105057.png
Screenshot_20191112-105116.png
shamgaa kusikia ukohuru kama.FIFA wameleta watuwao.na kukupa.mzigoo huu
 
Hiyo pesa ataghushi tu hakuna shida...hiyo ni fani kwa mwenye fani
 
Back
Top Bottom