FIFA yamfungia maisha Michael Wambura kujishughulisha na masuala ya mpira wa miguu duniani

FIFA yamfungia maisha Michael Wambura kujishughulisha na masuala ya mpira wa miguu duniani

hawa wasiweza kuandika barua vizuri... wamejaa vibonge ofisini... vipande vya watu... pole Mr. Wambura

nakukumbusha kuna CAS nenda kajaribu bahati yako huko...
 
bado ana nafasi ya kukata rufaa mahakama ya usuruhishi wa masuala ya michezo duniani nazani inaitwa CAS...

hivyo mtoa mada una onekana una upungufu wa taarifa ktk nyanja hii ya michezo...
 
index (1).jpg
 
Hiyo barua iko wapi hawa Tifuatifua mbona wasanii maana wamesema barua imeambatanishwa huku hatuioni,!
 
Back
Top Bottom