FIFA yamfungia maisha Michael Wambura kujishughulisha na masuala ya mpira wa miguu duniani

Maamuzi ambayo Tff wanasema wamekazia Hukumu yalishakuwa nullified na Mahakama Kuu Dar Es Salaam Na Mwezi Uliopita Mawakili Wa Tff walimsave Michael Wambura Notice ya Intention To Appeal CAT sasa Nashangaa haya Maamuzi Yametoka Wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Fifa na mahakama ni vyombo viwili tofauti haviko kwenye hiearachy moja. Walichokuwa wanajaribu TFF ni kutafuta kumuondoa Wambura ama kwa mahakama au kwa njia yoyote halali.
 
Kwa Mbinu Wanayotumia Hawataweza, Tff Kesho Watapewa Summons ya Notice To Show Cause Kwa Maana Kwa Nn Wasichukuliwe Hatua Kwa Kudharau Maamuzi Ya Mahakama Kuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Cha FIFA Tff Wameficha Taarifa Za Kwamba Maamuzi Yao Yalishatenguliwa Kitambo Sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Suala ni kwamba yawe yametenguliwa au la hakutakiwa kupeleka masuala ya soka mahakamani,kama aliona mamlaka zisingemtendea haki,haziaminiki, angekwenda huko huko FIFA.

Hilo ni kosa litakalomgharimu ukubali ukatae.

TFF walivyomuhukumu hawakwenda mahakama za kiraia,walitumia kamati zao za ndani,yeye kama ana akili timamu hakuona kuwa huo ulikuwa ni mtego tosha kwake?
 
Kuna vitu huelewi.
1. TFF walijipa mamlaka ya kuamua kesi za jinai, kitu ambacho kisheria hakipo, hapo hiwezi kwenda FIFA unaenda mahakama za kiraia maana hiyo ni ukiukwaji wa katiba za nchi na sio katiba za FIFA. Lazima uelewe kua hakuna sheria yoyote ya taasisi yoyote ambayo inaweza kua juu ya sheria za nchi. Inapotokea kuna mkanganyiko kinachofuatwa ni sheria za nchi na sio sheeia za hiyo taasisi.

2. Hukumu ya TFF ilikua kinyume na katiba ya nchi, wambura alikua sahihi kwenda mahakama za kiraia na sio za FIFA.

3. Hukumu ya TFF ilishafutwa na mahakama kuu na TFF hawakupeleka hiyo taarifa ya mahakama kuu FIFA, hvyo fifa wameamua juu ya kesi hewa au mashtaka hewa ambayo yalishafutwa na mahakama kuu.

4. TFF wangetafta namna nyingine ya kudeal na wambura ila sio kutumia njia za kihuni na za kipumbavu kama walikua hawamtaki. Kwa hili wamechemka.

5. Wamburs bado ni makamo wa rais wa TFF.
 
Kwa mujibu wako sawa bado ni makamu Rais ila kwa mujibu wa Taarifa kutoka FIFA amefungiwa maisha,bisheni mfungiwe maisha kwa ujuaji wenu.
 
Kuna vitu huelewi.
1. TFF walijipa mamlaka ya kuamua kesi za jinai, kitu ambacho kisheria hakipo, hapo hiwezi kwenda FIFA unaenda mahakama za kiraia maana hiyo ni ukiukwaji wa katiba za nchi na sio katiba za FIFA. Lazima uelewe kua hakuna sheria yoyote ya taasisi yoyote ambayo inaweza kua juu ya sheria za nchi. Inapotokea kuna mkanganyiko kinachofuatwa ni sheria za nchi na sio sheeia za hiyo taasisi.

2. Hukumu ya TFF ilikua kinyume na katiba ya nchi, wambura alikua sahihi kwenda mahakama za kiraia na sio za FIFA.

3. Hukumu ya TFF ilishafutwa na mahakama kuu na TFF hawakupeleka hiyo taarifa ya mahakama kuu FIFA, hvyo fifa wameamua juu ya kesi hewa au mashtaka hewa ambayo yalishafutwa na mahakama kuu.

4. TFF wangetafta namna nyingine ya kudeal na wambura ila sio kutumia njia za kihuni na za kipumbavu kama walikua hawamtaki. Kwa hili wamechemka.

5. Wamburs bado ni makamo wa rais wa TFF.
Hata mimi namtambua wambura
 
Hapo kwenye red napata mwanga. Mfano suala la akina Malinzi mbona limepelekwa mahakamani kama jinai zingine na viongozi wa sasa wa TFF wanaenda kutolea ushahidi!?
Itakuwa ngumu
Kuna vitu huelewi.
1. TFF walijipa mamlaka ya kuamua kesi za jinai, kitu ambacho kisheria hakipo, hapo hiwezi kwenda FIFA unaenda mahakama za kiraia maana hiyo ni ukiukwaji wa katiba za nchi na sio katiba za FIFA. Lazima uelewe kua hakuna sheria yoyote ya taasisi yoyote ambayo inaweza kua juu ya sheria za nchi. Inapotokea kuna mkanganyiko kinachofuatwa ni sheria za nchi na sio sheeia za hiyo taasisi.

2. Hukumu ya TFF ilikua kinyume na katiba ya nchi, wambura alikua sahihi kwenda mahakama za kiraia na sio za FIFA.

3. Hukumu ya TFF ilishafutwa na mahakama kuu na TFF hawakupeleka hiyo taarifa ya mahakama kuu FIFA, hvyo fifa wameamua juu ya kesi hewa au mashtaka hewa ambayo yalishafutwa na mahakama kuu.

4. TFF wangetafta namna nyingine ya kudeal na wambura ila sio kutumia njia za kihuni na za kipumbavu kama walikua hawamtaki. Kwa hili wamechemka.

5. Wamburs bado ni makamo wa rais wa TFF.
Mahakama za nchi haziwezi ingilia maamuzi ya FIFA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya watu wanaoleta misukosuko kwny TFF ni huyu wambura alijaribu kuingia simba wakamtimua haraka sana. Sijui ukiacha mambo ya soka huwa anafanyaga shughuli gani
Kumbe aliwahi kujaribu bahati Simba? Ila Jamaa ana bahati mbaya sana na soka la Tz sijajua tatizo ni yeye au majungu tu.
 
Walimtukana Jamal Malinzi na kusema ana ukabila na utimu lakini hapa naona MSOMALI anavuruga mpira wa taifa hili. Lini Alshabab wakacheza au kuongoza mpira?
 
Back
Top Bottom