FIFA Yamfungia Maisha Mwamuzi Kutoka Tanzania, Oden Charles Mbaga

FIFA Yamfungia Maisha Mwamuzi Kutoka Tanzania, Oden Charles Mbaga

Sijaelewa hii kauli Mtani? Fitna kiaje?

Ikitokea ukawa kwenye system ambayo inapinga watawala unapotezwa.

Moja ya tawala zilizokaa ki-dikteta ni tawala za kimpira.

Hizi chaguzi za viongozi zimejaa rushwa (dunia nzima), ila mtu akishapita utashangaa wanaoingia kwenye kashfa na wa ule upande ulioshindwa.

Fatilia cases za kina Blatter (huyu aliangushwa baada ya kuwatosa waingereza ikabidi washirikiane na US kumtoa), kuna aliyewahi kuwa Rais wa Chama cha Mpira Brazil, kuna kina Bwalya (Zambia), kuna yule alikuwa bosi Caf.

Hapa kwetu umeona yanayowakuta kina Malinzi, Wambura, utakumbuka Rage na Ndolanga back then.

In short rushwa imejaa, ila tunafanya kudili na case chache hasa kwa kuangalia maslahi.

Chelsea, Man City nadhani hata PSG wana issue kwenye taratibu za usajili, na aliyewawezesha ni huyu Rais wa sasa Fifa kipindi akiwa ngazi za chini, lakini wamemkalia kimya, ingetokea hayuko kwenye uongozi top na inaonekana tishio angeshapigwa pin.

Mtani unakumbuka kuhusu upangaji matokeo daraja la kwanza/pili kipindi cha Malinzi? Kesi iliishaje?
 
mashabiki wa gongowazi bana....kila siku ni kulalamika...mmekuwa waimba tarabu kama yule kocha wenu...nenda sasa kachezeshe wewe mechi za Yanga uwe unaipendelea roho yako iridhike
Alimeza filimbi pale akijua anaikomoa Yanga,kumbe kinyume chake akairahisishia goli la ushindi!alijilaumu sana yule kilaza
 
Na wale wanaoipendelea Mikia FC hadharani vipi?
Kweli kama Abdalah Shaibu,Yondani na
Kabwili nasikia nao walihongwa???
Mtasingizia mengi!Hata milioni 2 alizochangia Zahera kwenye bakuli la michango alipewa na Simba.?
Chupi zimeanza kubana mavi yanachungulia.
 
mashabiki wa gongowazi bana....kila siku ni kulalamika...mmekuwa waimba tarabu kama yule kocha wenu...nenda sasa kachezeshe wewe mechi za Yanga uwe unaipendelea roho yako iridhike
We mkia angalia goli la 3 la jana mikia hilo,utaweza kujua kilichoendelea hapo iwapo unajua mpira,la sivyo utaleta ligi tu
FB_IMG_1551250802211.jpeg
 
Nadhani ni ile issue ya yule referee wa Ghana na Viongozi wa Michezo Ghana yule mwadishi wa BBC aliewarekodi

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapana wanasema ni hii hapa:

FIFA hands referee lifetime ban for taking bribes | CBC Sports

Oden Charles Mbaga Mbaga reportedly linked to match-fixer Singapore Wilson Perumal
The Associated Press · Posted: Feb 26, 2019 10:00 AM ET | Last Updated: February 26

wilson-match-fixing.jpg

Wilson Perumal was involved in providing referees to corrupt international friendly games for betting scams. (Kaisa Siren/Associated Press)
14 comments
FIFA says its ethics committee imposed a life ban on referee Oden Charles Mbaga of Tanzania for taking bribes.
FIFA says Mbaga was also fined 200,000 Swiss francs ($262,954 Cda). It is unclear how FIFA can enforce fines for unethical behaviour.
Without giving details of the bribery, FIFA says Mbaga breached the 2009 version of its code of ethics though the investigation was opened only in July last year.
 
View attachment 1032917
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) imemfungia maisha mwamuzi wa zamani wa kimataifa ambaye pia ni Katibu wa Chama Cha Waamuzi Tanzania (FRAT) Oden Charles Mbaga kwa kujihusisha na masuala ya rushwa ya upangaji matokeo.

Aidha Mbaga anatakiwa kulipa faini ya kiasi cha fedha ya Uswis Faranga 200,000 (Zaidi ya shilingi milioni 468 a Kitanzania) ndani ya siku 30 tangu amepata taarifa hizo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na TFF, Uamuzi huo unafuatia uchunguzi uliofanyika kuanzia Julai 11, 2018 ambapo Mbaga amekutwa na hatia ya kuhusika kwenye upangaji wa matokeo ikiwa ni kinyume na kanuni za maadili za FIFA.

“Anafungiwa maisha kutojihusisha na shughuli zozote za mpira wa miguu katika ngazi ya Kitaifa na Kimataifa kwa mujibu wa Ibara ya 7j ya Kanuni za Maadili za FIFA za mwaka 2018 pamoja na Ibara ya 22 ya Kanuni ya Nidhamu ya FIFA,” imeeleza sehemu ya taarifa hiyo.

Mwamuzi huyo anaweza kukata rufaa kwenye mahakama ya kimichezo ya FIFA (CAS) ndani ya siku 21 tokea maamuzi yalipofanyika na ndani ya siku 10 baada ya kumalizika siku 21.

Source: fifa.com
Adjudicatory chamber of the independent Ethics Committee sanctions Oden Charles Mbaga

Sent using Jamii Forums mobile app
......Aidha Mbaga anatakiwa kulipa faini ya kiasi cha fedha ya Uswis Faranga 200,000 (Zaidi ya shilingi milioni 468 a Kitanzania) ......kuchezesha mchezo mmoja wanalipwa bei gani? Inawezekana kuna fursa kubwa huko kuliko huku tuliko
 
Yaani umeishamfungia mtu maisha na mifaini ya mahela yote hayo,hapo n kupiga kimya.

Sent from Nokia 7 Plus
 
Waamuzi wetu wa kibongo hovyo sana,mechi ya Namungo ni moja ya aina ya waamuzi wa hovyo tulionao,walichezesha kwa lengo la kuibeba Timu ya Waziri Mkuu lakini mwisho wa siku aibu ikawarudi.

Na walisahau kwamba Namungo anacheza na Timu ya aina gani,ina wachezaji wa aina gani na ambao wanaweza wakabadilisha ubao wakati wowote na ndicho kilichotokea,acha wafungiwe tu hakuna namna
 
Waamuzi wetu wa kibongo hovyo sana,mechi ya Namungo ni moja ya aina ya waamuzi wa hovyo tulionao,walichezesha kwa lengo la kuibeba Timu ya Waziri Mkuu lakini mwisho wa siku aibu ikawarudi.

Na walisahau kwamba Namungo anacheza na Timu ya aina gani,ina wachezaji wa aina gani na ambao wanaweza wakabadilisha ubao wakati wowote na ndicho kilichotokea,acha wafungiwe tu hakuna namna
Acheni kuwaza ujinga, kukosea marefa ni kitu cha kawaida dunia kote! Wewe unadhani kwanini VAR inatumika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wale wanaoipendelea Mikia FC hadharani vipi?

Peleka mashtaka na ushahidi usio na shaka ili wapate hukumu yao stahiki,ila usiwaonee kama alivyofanya Carlos wa Mbaga,ni wazi kaonewa hasa kama kina tenga na FIFA wenyewe waliona sababu za wanaomhutumu hazina mashiko
 
Write your reply...mpira ni vita! na sio fair play kama FIFA wanavyosema!
 
Back
Top Bottom